Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine - SUA: Tahadhari juu ya ugonjwa wa Corona

Kufuatia tahadhari zinazoendelea kutolewa na taasisi mbalimbali za elimu ya juu Nchini ikiwemo Chuo kikuu cha Daressalaam (UDISM) na chuo kikuu Huria (OUT), Chuo Kikuu cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) nacho kimewatahadharisha wanajumuiya wa taasisi hiyo kuchukua hatua stahiki za tahadhari dhidi ya ugonjwa huo hatari.

SUA... Mmekumbuka shuka asubuhi
 
hii familia ya Prof mamilo imeandamwa sana
1.mwaka janamwishoni kamzika dada yake
2. mwanzoni mwa january akamzika baba yake,
3.wiki moja mbeleakamzika mama yake.
4. tarehe 7/02/2021 kafariki mwenyewe
5.tarehe 9/02siku mbili baada ya kifo chake mume wake nae akaenda ilikuwa asubuhnadhan
6. siku hiyohiyo 09/02 dereva aliyekuwa akimuendesha marehemu mrs. mamiro naye kafariki

dah mama alikuwa moja ya pathologist wakubwa SUA
may her soul and others rest in peace

##TUCHUKUE TAHADHARI
COVID IPO NA INAUA
[emoji2969][emoji2969]
 
Kufuatia tahadhari zinazoendelea kutolewa na taasisi mbalimbali za elimu ya juu Nchini ikiwemo Chuo kikuu cha Daressalaam (UDISM) na chuo kikuu Huria (OUT), Chuo Kikuu cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) nacho kimewatahadharisha wanajumuiya wa taasisi hiyo kuchukua hatua stahiki za tahadhari dhidi ya ugonjwa huo hatari.

Ingawa jukumu kubwa la Vyuo na Shule ni kuwapa watoto wetu Elimu bora, wazazi na Jamii kwa jumla wanategemea watoto wao warudi salama baada ya masomo siyo kupigiwa simu watoto wamefariki kwa ugonjwa hatari wa pneumonia unaoenea kwa kasi na wamezikwa tayari kuzuia maambukizi kwa wanafunzi wengine na familia. Maeneo ya Michezo yatageuzwa Makaburi!
 
Kufuatia tahadhari zinazoendelea kutolewa na taasisi mbalimbali za elimu ya juu Nchini ikiwemo Chuo kikuu cha Daressalaam (UDISM) na chuo kikuu Huria (OUT), Chuo Kikuu cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) nacho kimewatahadharisha wanajumuiya wa taasisi hiyo kuchukua hatua stahiki za tahadhari dhidi ya ugonjwa huo hatari.

Mimi nadhani hizi taasisi zimeelekezwa zifanye hivyo.
 
Waziri Gwajima ana taarifa?!
69D83EE8-1725-4439-86B7-9B1FC66EEA9E.jpeg
 
Kufuatia tahadhari zinazoendelea kutolewa na taasisi mbalimbali za elimu ya juu Nchini ikiwemo Chuo kikuu cha Daressalaam (UDISM) na chuo kikuu Huria (OUT), Chuo Kikuu cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) nacho kimewatahadharisha wanajumuiya wa taasisi hiyo kuchukua hatua stahiki za tahadhari dhidi ya ugonjwa huo hatari.

Huu nao Wizara ya elimu itaukana kutokana na maagizo kutoka juu !
 
SUA ni wakati wa kuonyesha tafiti zao dhidi ya corona ! Leteni hayo mafukizi kitaalamu
 
Kufuatia tahadhari zinazoendelea kutolewa na taasisi mbalimbali za elimu ya juu Nchini ikiwemo Chuo kikuu cha Daressalaam (UDISM) na chuo kikuu Huria (OUT), Chuo Kikuu cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) nacho kimewatahadharisha wanajumuiya wa taasisi hiyo kuchukua hatua stahiki za tahadhari dhidi ya ugonjwa huo hatari.

Corona: Wizara ya Elimu yaukana waraka wa Prof. Elifas Tozo Bisanda Makamu wa Chuo Kikuu Huria (OUT)​

Wakizubaa ma prof wote watapukutika kama majani...

Uzuri wa COVID-19 watoto haigusi...vijana labda wenye matatizo yao ya afya toka kuzaliwa...Wazee sasa 60+ ni balaaaaaa!! imepiga kambi aisee!!
Corona ya sasahivi si kama ya mwanzo haisazi mtoto,mzee, wala kijana
 
Back
Top Bottom