Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine - SUA: Tahadhari juu ya ugonjwa wa Corona

Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine - SUA: Tahadhari juu ya ugonjwa wa Corona

Kufuatia tahadhari zinazoendelea kutolewa na taasisi mbalimbali za elimu ya juu Nchini ikiwemo Chuo kikuu cha Daressalaam (UDISM) na chuo kikuu Huria (OUT), Chuo Kikuu cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) nacho kimewatahadharisha wanajumuiya wa taasisi hiyo kuchukua hatua stahiki za tahadhari dhidi ya ugonjwa huo hatari.

Ahsanteni sana waache wafilist wajizike wenyewe! Babeli unaangushwa siku si nyingi
 
Aliyetuloga wa Tz. tungemtafuta tukamuombe msamaha! Sielewi viongozi wetu wqnataka tufe wote ili wabaki nanani!
EE Mola wetu hebu shusha dhahama zako ili utuokoe sie watumwa wako.
 
Wakizubaa ma prof wote watapukutika kama majani.

Uzuri wa COVID-19 watoto haigusi...vijana labda wenye matatizo yao ya afya toka kuzaliwa...Wazee sasa 60+ ni balaaaaaa!! imepiga kambi aisee!!

Vitoto vya Chuo vitakuwa vinapumulia kwa nguvu hewa ya COVID-19 maprofesa wao. Sio kwa spidi hii ya vifo
 
Kufuatia tahadhari zinazoendelea kutolewa na taasisi mbalimbali za elimu ya juu Nchini ikiwemo Chuo kikuu cha Daressalaam (UDISM) na chuo kikuu Huria (OUT), Chuo Kikuu cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) nacho kimewatahadharisha wanajumuiya wa taasisi hiyo kuchukua hatua stahiki za tahadhari dhidi ya ugonjwa huo hatari.

Inauma sana kupoteza watu kama hawa ndani ya two weeks😣😣
 
Attachments

  • arton157264-4a8be.jpg
    arton157264-4a8be.jpg
    20 KB · Views: 1
hii familia ya Prof mamilo imeandamwa sana
1.mwaka janamwishoni kamzika dada yake
2. mwanzoni mwa january akamzika baba yake,
3.wiki moja mbeleakamzika mama yake.
4. tarehe 7/02/2021 kafariki mwenyewe
5.tarehe 9/02siku mbili baada ya kifo chake mume wake nae akaenda ilikuwa asubuhnadhan
6. siku hiyohiyo 09/02 dereva aliyekuwa akimuendesha marehemu mrs. mamiro naye kafariki

dah mama alikuwa moja ya pathologist wakubwa SUA
may her soul and others rest in peace

##TUCHUKUE TAHADHARI
COVID IPO NA INAUA
[emoji2969][emoji2969]
Mmmhhh!
 
Hatutofautiani na waliopigana vita vya majimaji wakiamini mitishamba itageuza risasi kuwa maji.

Nimesikia tena baada ya prof kufariki, kisha mmewe dkt akafariki juzi sasa leo mdogo wa dkt nae kafariki!
 
Back
Top Bottom