Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Mtaje tu wengine umbea ndio umetufanya tuishiKuna mtu mzito ataaibika siku si nyingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaje tu wengine umbea ndio umetufanya tuishiKuna mtu mzito ataaibika siku si nyingi
Better late than never.SUA... Mmekumbuka shuka asubuhi
Duuuh , hatari aisee, tumuombe mungu atuepushe na majanga hayahii familia ya Prof mamilo imeandamwa sana
1.mwaka janamwishoni kamzika dada yake
2. mwanzoni mwa january akamzika baba yake,
3.wiki moja mbeleakamzika mama yake.
4. tarehe 7/02/2021 kafariki mwenyewe
5.tarehe 9/02siku mbili baada ya kifo chake mume wake nae akaenda ilikuwa asubuhnadhan
6. siku hiyohiyo 09/02 dereva aliyekuwa akimuendesha marehemu mrs. mamiro naye kafariki
dah mama alikuwa moja ya pathologist wakubwa SUA
may her soul and others rest in peace
##TUCHUKUE TAHADHARI
COVID IPO NA INAUA
[emoji2969][emoji2969]
Uhai wa mtu ni mali yake binafsi na wala haina uhusiano na serikali, chama, wala mamlaka nyingine yoyote. Kwa hiyo mkijifanya kukaa kimya kumfurahisha mteuaji mtakwisha SUA. Tumeshuhudia vifo vya ghafla hapo vitokanavyo na changamoto ya upumuaji tena vingine vikihusisha mke na mume. Semeni kweli kama Wasomi na kweli itawasaidia nyie viongozi na wanafunzi wenu.Kufuatia tahadhari zinazoendelea kutolewa na taasisi mbalimbali za elimu ya juu Nchini ikiwemo Chuo kikuu cha Daressalaam (UDISM) na chuo kikuu Huria (OUT), Chuo Kikuu cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) nacho kimewatahadharisha wanajumuiya wa taasisi hiyo kuchukua hatua stahiki za tahadhari dhidi ya ugonjwa huo hatari.
Nimekaota hakana muda mrefu haka kasura ya baunsa, siku sio nyingi parapanda italia.yuko busy anajifukiza na mumewe.
Nireteeeeeeeeeni gwajiiiiiiiimaaaaaaaaaaaaaNimekaota hakana muda mrefu haka kasura ya baunsa, siku sio nyingi parapanda italia.
Nitaharibu dozi kwa kunywa bia za kutosha kusindikiza mzoga wake
Eeh chukueni tahadhari , mnasubiri mpak Jiwe awatangazie, mtakufa kama kuku
Washaanza kupukutika
Wanapukutishwa vibaya sana na hao ndiyo wanasema hakuna huo ugonjwa
Kufa ni lazima lkn siyo kuudharau ugonjwa kisa kumfurahisha mteuzi wako,huo ni ujinga wa kiwango cha SGRKwan wewe utaishi milele umu duniani?? Umesahau kuwa kila nafsi itaonja mauti??
Hacha kujimwambafai mzee
Huu ugonjwa una maajabu.Wakizubaa ma prof wote watapukutika kama majani...
Uzuri wa COVID-19 watoto haigusi...vijana labda wenye matatizo yao ya afya toka kuzaliwa...Wazee sasa 60+ ni balaaaaaa!! imepiga kambi aisee!!
hii familia ya Prof mamilo imeandamwa sana
1.mwaka janamwishoni kamzika dada yake
2. mwanzoni mwa january akamzika baba yake,
3.wiki moja mbeleakamzika mama yake.
4. tarehe 7/02/2021 kafariki mwenyewe
5.tarehe 9/02siku mbili baada ya kifo chake mume wake nae akaenda ilikuwa asubuhnadhan
6. siku hiyohiyo 09/02 dereva aliyekuwa akimuendesha marehemu mrs. mamiro naye kafariki
dah mama alikuwa moja ya pathologist wakubwa SUA
may her soul and others rest in peace
##TUCHUKUE TAHADHARI
COVID IPO NA INAUA
[emoji2969][emoji2969]
Yule na Kangi Lugola hawana tofauti, labda jinsia tuWaziri Gwajima ana taarifa?!
Una maana gani mkuu Erythro. Hilo neno "kuaibika" umelitoa wapi. Nani aaibike? Kuna mtu/kiongozi wa kuona aibu yoyote hapa?Kuna mtu mzito ataaibika siku si nyingi
Bro usimafananishe shetani na vitu vya ajabu ajabu, shetani ana heshima yake bhana.Nireteeeeeeeeeni gwajiiiiiiiimaaaaaaaaaaaaa
In shetani voice
Bora aiibike tuKuna mtu mzito ataaibika siku si nyingi
Nimeshangaa na mimi, wameona wenzao wameenda ndo wanatoa warakaBaada ya vifo vilivyofuatana vya Mume Dkt na Me Profesa Mamiro
Hata kufutwa kwao kazi hawatatofautianaYule na Kangi Lugola hawana tofauti, labda jinsia tu
Aiseeee nmecheka mpaka nmepaliwa na nyunguBro usimafananishe shetani na vitu vya ajabu ajabu, shetani ana heshima yake bhana.
Shetani hawezi kuwa na sauti mbaya kama ya Bwana Jiwe, achilia mbali sura na lile bichwa kama kobiro