Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine - SUA: Tahadhari juu ya ugonjwa wa Corona

Ahsanteni sana waache wafilist wajizike wenyewe! Babeli unaangushwa siku si nyingi
 
Aliyetuloga wa Tz. tungemtafuta tukamuombe msamaha! Sielewi viongozi wetu wqnataka tufe wote ili wabaki nanani!
EE Mola wetu hebu shusha dhahama zako ili utuokoe sie watumwa wako.
 
Wakizubaa ma prof wote watapukutika kama majani.

Uzuri wa COVID-19 watoto haigusi...vijana labda wenye matatizo yao ya afya toka kuzaliwa...Wazee sasa 60+ ni balaaaaaa!! imepiga kambi aisee!!

Vitoto vya Chuo vitakuwa vinapumulia kwa nguvu hewa ya COVID-19 maprofesa wao. Sio kwa spidi hii ya vifo
 
Inauma sana kupoteza watu kama hawa ndani ya two weeks😣😣
 

Attachments

  • arton157264-4a8be.jpg
    20 KB · Views: 1
Mmmhhh!
 
Hatutofautiani na waliopigana vita vya majimaji wakiamini mitishamba itageuza risasi kuwa maji.

Nimesikia tena baada ya prof kufariki, kisha mmewe dkt akafariki juzi sasa leo mdogo wa dkt nae kafariki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…