Chuo Kikuu cha Nigeria Nasarawa kinatarajia kumtunuku Rais Samia shahada ya Udaktari wa Heshima

Chuo Kikuu cha Nigeria Nasarawa kinatarajia kumtunuku Rais Samia shahada ya Udaktari wa Heshima

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Chuo Kikuu cha Jimbo la Nasarawa (NSUK) cha Nigeria, kinatarajia kumtunuku Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, shahada ya Udaktari wa Heshima, Aprili 11, 2026. Kulingana na taarifa iliyochapishwa kwenye gazeti la Premium Times la nchini humo, kiongozi huyo atatunukiwa shahada hiyo wakati wa maadhimisho ya miaka 25 ya taasisi hiyo ya elimu ya juu, ambapo Rais Samia atakuwa mgeni rasmi wakati wa tukio hilo.

============== For English Audience ==============​

Nasarawa State University, Keffi (NSUK), is set to confer an honorary doctorate on Tanzania’s President Samia Hassan at its eighth combined convocation ceremony, a decision that has drawn scrutiny amid documented allegations of a violent crackdown on protesters in her country.

The university announced that President Hassan would be a guest of honour at the ceremony scheduled for April 11, 2026, where she is expected to receive a Doctor of Letters (Honoris Causa). The event coincides with the institution’s 25th anniversary.

The announcement, made by Terhemba Shija, a professor in the Faculty of Arts, Department of English of NSUK, described the visit in celebratory terms, referring to the Tanzanian leader as “the amazon” and inviting the public to join in marking the milestone.

But the planned honour comes against a backdrop of contested election results, reported killings, and mounting international concern over human rights violations in Tanzania.

SOURCE: PREMIUM TIMES​

​
 
Back
Top Bottom