carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Umefafanua vizuri na hiki ndicho kilibidi kiandikwe pale juu, shida ya waandishi wa siku hizi wanaweka heading nyingine, tag nyingine ila kilichomo kwenye content husika ni kingine kabisaKichwa cha habari kinaweza kuleta taharuki kubwa, ila baada ya kusikiliza nimeelewa kuwa ule utaratibu wa kufanya sup na special mwezi wa 9 hautakuwepo na badala yake wale watakaokuwa na changamoto tajwa watafanya pepa zao na wale watakaofanya mtihani huo kwa mwaka husika
Kama una sup au una special mwaka ukiwa 1st yr huu basi utafanya mtihani huo na 1st yr wa mwaka unaofuata wewe ukiwa 2nd yr
Kwa hiyo ukipata Sup mwaka wa mwisho wa masomo ina maana hu graduate tena mwaka huo mpaka mwakani sio.Kichwa cha habari kinaweza kuleta taharuki kubwa, ila baada ya kusikiliza nimeelewa kuwa ule utaratibu wa kufanya sup na special mwezi wa 9 hautakuwepo na badala yake wale watakaokuwa na changamoto tajwa watafanya pepa zao na wale watakaofanya mtihani huo kwa mwaka husika
Kama una sup au una special mwaka ukiwa 1st yr huu basi utafanya mtihani huo na 1st yr wa mwaka unaofuata wewe ukiwa 2nd yr
Akijibu nitagKwa hiyo ukipata Sup mwaka wa mwisho wa masomo ina maana hu graduate tena mwaka huo mpaka mwakani sio.
Kwa hiyo ukipata Sup mwaka wa mwisho wa masomo ina maana hu graduate tena mwaka huo mpaka mwakani sio.
Tutawatafutia utaratibu maalumuKwa hiyo ukipata Sup mwaka wa mwisho wa masomo ina maana hu graduate tena mwaka huo mpaka mwakani sio.
Muhuni 🤣🤣🤣Mhhh Sup zilikuwa zinachangamsha ubongo bwana, Udom wasizitoe maana nifursa ya kujipatia madem bure
Mkopo huo.Supplimentary ndio inakuwaje
Hii walitufanyiaga SAUT nikiwa mwaka wa 3 ...2009...alooo yaani unakipindi mwaka wako na muda huohuo una kipindi mwaka wa pili ulichokibeba. Noma sanaKichwa cha habari kinaweza kuleta taharuki kubwa, ila baada ya kusikiliza nimeelewa kuwa ule utaratibu wa kufanya sup na special mwezi wa 9 hautakuwepo na badala yake wale watakaokuwa na changamoto tajwa watafanya pepa zao na wale watakaofanya mtihani huo kwa mwaka husika
Kama una sup au una special mwaka ukiwa 1st yr huu basi utafanya mtihani huo na 1st yr wa mwaka unaofuata wewe ukiwa 2nd yr
Asante kutusaidia tusioweza kusikilizaKichwa cha habari kinaweza kuleta taharuki kubwa, ila baada ya kusikiliza nimeelewa kuwa ule utaratibu wa kufanya sup na special mwezi wa 9 hautakuwepo na badala yake wale watakaokuwa na changamoto tajwa watafanya pepa zao na wale watakaofanya mtihani huo kwa mwaka husika
Kama una sup au una special mwaka ukiwa 1st yr huu basi utafanya mtihani huo na 1st yr wa mwaka unaofuata wewe ukiwa 2nd yr