Chuo Kikuu cha UDSM chabadili utaratibu wa Supplementary na Special Examination

Inatofauti gani na kucarry?
 
Asante,
Hii kitu haikunipata
 
Maelezo uliyoandika ndio yaliyopo kwenye hiyo video,mleta mada alitakiwa kuyaandika yote hayo kwenye kichwa cha habari? Bado samare ya hayo yote ni WAMEFUTA SAPU
 
ukiwa mwaka wa mwisho maana yake huto-graduate. Hii ni mbaya sana!!!!
 
vipi siku unafanya mtihani wa 2nd year at the same date una mtihani wa 1st year ?

Utaratibu utakuaje apa ?
 
Mara wamepandisha gharama za hostel, mara wanafuta mitihani. Kila siku taharuki

Nawaona vijana wa Jalalani wakojitokeza kwa wingi tar 29
 
Nilichogundua kutokana na baadhi ya "comments" hapa ni kwamba wengine wanatoa maoni kwa kufuata kichwa cha habari- hawajasikiliza/tazama hiyo video clip. Kichwa cha habari hakijakaa sawa.
 
Kuepusha hayo ni kujitahidi tu kuepukana na sup, home kulivyo mbali miaka hiyo nipo chuo nilipambana kuhakikisha sup inipitie mbali kabisa maana ukiwaza nauli tu unaishiwa pawa
 
Sasa ndio yaleyale tu bado ni suppkwa maana umerudia mtihani kilichobadilika tu ni tarehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…