Enyi mlio amini! Msiwafanye wasiri wenu watu wasio kuwa katika nyinyi. Hawataacha kukufanyieni ubaya. Wanayapenda yanayo kudhuruni. Imekwisha fichuka chuki yao katika midomo yao. Na yanayo ficha vifua vyao ni makubwa zaidi. Tumekwisha kubainishieni Ishara ikiwa nyinyi mtayatia akilini.(3:118)(یُرِیدُونَ لِیُطۡفِـُٔوا۟ نُورَ ٱللَّهِ بِأَفۡوَ ٰهِهِمۡ وَٱللَّهُ مُتِمُّ نُورِهِۦ وَلَوۡ كَرِهَ
ٱلۡكَـٰفِرُونَ
Fain would they put out the light of Allah with their mouths, but Allah will perfect His light however much the disbelievers are averse..
swaf-8
Na mafuta yapande bei uambie option ni mafuta ya nguruweWakimbie tu, chuo uchapwe na ajira uje ukose.
No no hilo hapana, acha nile chukuchukuNa mafuta yapande bei uambie option ni mafuta ya nguruwe
Yes, chukulia vyovyote upendavyo. Huu uongo wenu ukiachiwa hivi hivi utaonekana kuwa ni ukweli. Semeni na andikeni ukweli, UONGO WENU HAUJENGI UNAZIDI KUBOMOWA.Mbona kama umepaniki Bi Mkubwa! Kwani ungefafanua tu hiyo tofauti ya hayo maneno 'Kiislam' na 'Waislam', ungepungukiwa nini?
Halafu muache huu upuuzi wa kuchapa watu wazima viboko kwenye karne ya 21. Mkiendelea kufanya hivi, basi msije kulalamika tena baadaye kwa kukosa wahitimu wengi wa dini yenu.
Maana hakuna mwanachuo mwenye akili timamu atakuja kusoma kwenye chuo cha aina hiyo! Kama vipi mkihamishie hicho chuo chenu Afghanstan huko! ili mkakatane kabisa na mikono, na kupigana mawe mpaka kifo.
Nyerere alivyowachapa wanafunzi waa UDSM baba zenu walinyanyua mdomo kulilaumu kanisa lililomsomesha Nyerere?There is something wrong kwa hiki chuo aisee..yani hata wanafunzi wa hapo wako rough mentally na phisically.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji976]
Sasa hapo aliyetakiwa kulaumiwa ni nani? Nyerere aliyewachapa ama Kanisa lililomsomesha Nyerere? Aisee udini unakufanya kuwa punguwani. Kwenye mabikra 72 atakaopewa mtume mudi ww utakua wangapi?Nyerere alivyowachapa wanafunzi waa UDSM baba zenu walinyanyua mdomo kulilaumu kanisa lililomsomesha Nyerere?
Hakuna chuo cha "Kiislam" ni uongo.Chuo cha kiislam..nasikia field huwa wanaenda kufanyia talebani na boko halam
#MaendeleoHayanaChama
Labda we unawaelewa.Whats wrong with hawa wavaa kobazi lkn?
Kiukweli me sijawahi kuwaelewa.
Hakuna chuo cha "Kiislam" ni uongo.
Andika vizuri Kiswahili, ni "haram" siyohalam.
Shule zenyewe mnasomea ujinga hata Kiswahili kinakushinda kuandika, utaelewa maana ya Waislam na Kiislam? Sidhani.
Ndivyo ilivyo,Ila akiingia nyumba ya kusaidia wasiojiweza na watoa huduma ni waislam napo asiseme ni nyumba ya kusaidia wasiojiweza ya kiislam!?Yes, chukulia vyovyote upendavyo. Huu uongo wenu ukiachiwa hivi hivi utaonekana kuwa ni ukweli. Semeni na andikeni ukweli, UONGO WENU HAUJENGI UNAZIDI KUBOMOWA.
Walimu washawahi kuchapwa viboko, itakuwa wanafunzi? mbona hamjafunguwa mabakuli yenu?
Uingie nyumba ya kuuza gongo anaekuzia Muislam useme hiyo ni nyumba ya kuuza gongo ya Kiislam?
Wacheni upuuzi huo.
Na mie sintakuwa na kawaiba atraba.Umeulizwa swali hapo juu?? Vipi wewe katika wale mabikra 72 wa jannah utakua wangapi kuanzia namba 1 hadi 72?? Hebu jibu tafadhali hilo swali.
Yaani unafurahi mtu mwenye miaka 20+ kuchapwa fimbo? Hata hivyo nashangaa kwanini hao jamaa walikubali kuchapwa fimbo kwa umri huo. Kwanza mimi nisingekubali kuchapwa hizo fimbo. Na mtu anakubalije kuchapwa fimbo chuoni kwa umri huo?Kabisa Mkuu, nimefurahishwa sana na huyo Shekhe aliyewatandika bakora wanachuo. Safi sana.
Hivi ndo vyuo vya kuwapeleka watoto kusoma. ..
Sikuelewi unasema nini.Ndivyo ilivyo,Ila akiingia nyumba ya kusaidia wasiojiweza na watoa huduma ni waislam napo asiseme ni nyumba ya kusaidia wasiojiweza ya kiislam!?
Udsm sio chuo cha imani..tofautisha na hiyo madrasa ya watu wazima ya hapo morogoro..Nyerere alivyowachapa wanafunzi waa UDSM baba zenu walinyanyua mdomo kulilaumu kanisa lililomsomesha Nyerere?
Wewe huo ujanja uliosomea umekusaidia nini mbona upo humu jf unacomment kwenye nyuzi zetu sisi wajinga.Hakuna chuo cha "Kiislam" ni uongo.
Andika vizuri Kiswahili, ni "haram" siyohalam.
Shule zenyewe mnasomea ujinga hata Kiswahili kinakushinda kuandika, utaelewa maana ya Waislam na Kiislam? Sidhani.