Mbona kama umepaniki Bi Mkubwa! Kwani ungefafanua tu hiyo tofauti ya hayo maneno 'Kiislam' na 'Waislam', ungepungukiwa nini?
Halafu muache huu upuuzi wa kuchapa watu wazima viboko kwenye karne ya 21. Mkiendelea kufanya hivi, basi msije kulalamika tena baadaye kwa kukosa wahitimu wengi wa dini yenu.
Maana hakuna mwanachuo mwenye akili timamu atakuja kusoma kwenye chuo cha aina hiyo! Kama vipi mkihamishie hicho chuo chenu Afghanstan huko! ili mkakatane kabisa na mikono, na kupigana mawe mpaka kifo.