cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Tofauti gan sasa? Upuuzi tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo huvai mlegezo, kapero, jeans za kuchana na upuuzi mwingine. Ni utaratibu uliopo, kama mtu hataki aende kwenye vyuo vingine! Hakuna anaelazimishwa kufauata maadili ya watu waliojipangia! Na hiyo ndio inaleta tofauti ya chuo hicho na vingine!