jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Jamaa washamba sana..Kuchapana fimbo chuoni ni mambo ya kizamani na ujinga. Unachapa fimbo watu wazima kabisa? Kama kuna makosa wamefanya si kuna adhabu nyingine tofauti na za viboko hutolewa?
Na mie sintakuwa na kawaiba atraba.
Kasome vizuri.
Mfuasi wa marehemu mudi wa meka kumbe upo?Ni kutowe kwenye reli ipi wewe poyoyo? Nyie ndiyo mnazua uongo, vipi ukiite chuo cha "Kiislaam" wakati siyo chuo cha Kiislaam? Mna maana gani mnapozua kwenye jibicwa lenu la habari?
Au ni wajinga kiasi hamuelewi maana ya Waislam na Kiislam?
Au mnajazana cuki za kijinga kwa "Uislam in general", mimi nawauliza, Uislam umewakosea nini au umegundisha kipi kibaya hata muwe na chuki za kijinga namna hiyo? Au ni mashetani tu, maana hakuna binadam anaeweza kujitungia chuki tu isipokuwa ana ushetani wa hali ya juu kichwani mwake.
namaanisha matendo ya muislamu hayahusiani na uislamu yawe mabaya au mazuri?Sikuelewi unasema nini.
Hakuna nyumba hizo katika Uislam.
Sisi Afghanistan ni wenzetu? Tangu lini walikuwa wenzetu katika Ustaarabu? Wale hawaja staarabika ndiyo maana wanataka kuongeza Nchi yao kwa mifumo ya kidini. Wenzetu ni yale mataifa yaliyo endelea katika Sayansi na teknolojia.Wenzetu kina nani
Huko Afghanistan Taliban wanatandika bakora watu mtaani
alhamdulillah kwa neema ya uislamu na sunnah..Enyi mlio amini! Msiwafanye wasiri wenu watu wasio kuwa katika nyinyi. Hawataacha kukufanyieni ubaya. Wanayapenda yanayo kudhuruni. Imekwisha fichuka chuki yao katika midomo yao. Na yanayo ficha vifua vyao ni makubwa zaidi. Tumekwisha kubainishieni Ishara ikiwa nyinyi mtayatia akilini.(3:118)
Kama walichapwa kistaarabu tatizo liko wapi?Wanafunzi wa chuo Kikuu cha Waislamu wadai walichapwa viboko.
View attachment 2172271
View attachment 2172273
Kama walichapwa kistaarabu tatizo liko wapi?Wanafunzi wa chuo Kikuu cha Waislamu wadai walichapwa viboko.
View attachment 2172271
View attachment 2172273
Wenzetu kidiniSisi Afghanistan ni wenzetu? Tangu lini walikuwa wenzetu katika Ustaarabu? Wale hawaja staarabika ndiyo maana wanataka kuongeza Nchi yao kwa mifumo ya kidini. Wenzetu ni yale mataifa yaliyo endelea katika Sayansi na teknolojia.
Hicho chuo sidhani kama utakuta watu wenye vyeti vilivyo nyooka, mtu ufaulu vizuri ukasome MUM? Chuo hovyo, wahadhiri hovyo na wanafunzi hovyo . Ni takataka united
Nchi yetu inaongozwa kidini?Wenzetu kidini
MUM ni ya Kiislamu na Taliban wanatawala/wanaongoza nchi kwa kufuata sheria za kiisimu
Muslim University ni chuo cha diniNchi yetu inaongozwa kidini?
Nchi yetu inaheshimu dini za watu wote kwa hiyo nashauri waendeleze viboko kwa wote wasiofata Sharia maana huo ndio msingi wa waarabu, ni bakora tu mpaka mnyooshane sio mnaishia kusema hamli nguruwe Ila mnapasua watoto za watu balaa 😃 ni fimbo tuNchi yetu inaongozwa kidini?
Nchi ina sheria, wao wanataka kutuletea shariia zinazotumika maeneo yaliyotawaliwa na magaidiMambo yao waachie wenyewe