jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Jamaa washamba sana..Kuchapana fimbo chuoni ni mambo ya kizamani na ujinga. Unachapa fimbo watu wazima kabisa? Kama kuna makosa wamefanya si kuna adhabu nyingine tofauti na za viboko hutolewa?
Sio washamba tu bali wamechanganyikiwa.
Walisikika kijani fulani wakiongea kwenye simu baada ya mawasiliano yao kudukuliwa.
#MaendeleoHayanaChama