Una kitu kinakusumbua kinaitwa hypocrisy, nyuzi zako nyingi unasema ukatitoliki NDio mapadre wanaonajisi watoto , ila apa unatenganisha Uislamu na muuza gongo muislamuYes, chukulia vyovyote upendavyo. Huu uongo wenu ukiachiwa hivi hivi utaonekana kuwa ni ukweli. Semeni na andikeni ukweli, UONGO WENU HAUJENGI UNAZIDI KUBOMOWA.
Walimu washawahi kuchapwa viboko, itakuwa wanafunzi? mbona hamjafunguwa mabakuli yenu?
Uingie nyumba ya kuuza gongo anaekuzia Muislam useme hiyo ni nyumba ya kuuza gongo ya Kiislam?
Wacheni upuuzi huo.
Lakini kuna kanuni za vyuo, ambapo vyuo vyote hutakiwa kufuata kanuni hizo. Sasa kama kanuni zinakataza mwanafunzi wa chuo kuchapwa viboko, halafu wahadhiri wanachapa viboko kwa watu wazima, huko si kuvunja kanuni? Hicho chuo ni binafsi na unasema ni cha dini, lakini kinasimamiwa na serikali. Kama kikivunja kanuni lazima kiwajibishwe.Muslim University ni chuo cha dini
As a student of MUM you will be required to be diligent and exemplary at all times and observe institutional CodeLakini kuna kanuni za vyuo, ambapo vyuo vyote hutakiwa kufuata kanuni hizo. Sasa kama kanuni zinakataza mwanafunzi wa chuo kuchapwa viboko, halafu wahadhiri wanachapa viboko kwa watu wazima, huko si kuvunja kanuni? Hicho chuo ni binafsi na unasema ni cha dini, lakini kinasimamiwa na serikali. Kama kikivunja kanuni lazima kiwajibishwe.
Uislamu unaingia vipi hapo?Hapo ndio ujinga wa uislam unapoonekana. Yaani busara hakuna kabisa
So if you don't observe the institutional code of conduct based on Islamic Moral Values, you ought to be beaten, opposed to the principles of colleges, from which all colleges abides?As a student of MUM you will be required to be diligent and exemplary at all times and observe institutional Code
of Conduct based on Islamic Moral values. Any antisocial behavior is not tolerated in the Muslim University of
Morogoro. Please obtain your copy of Students’ Code of Conduct through our website or the office of Dean of
Students once you complete registration.
Hiyo suna baba, ingawa kwa kabila letu neno SUNA ni kitendo cha kulana NDIZI na demu.Kwahiyo hapo wanatandikwa kwasababu hawajafuga midevu?
Ningekuwa ni mimi ningemchapa mtama sheikh hadi aende chini na msuli utupwe kule abaki na makende peke yake.Lakini hapa hatujaelezwa kosa lao lilikua ni nini?
Maana mafuta ya kula yamekua adimu, yawezekana vijana walikutwa wakitumia "mafuta mbadala a.k.a noah", sasa taarifa kama hyo ikitangazwa ingeleta mushkeli, so wajomba wakaamua kuwatia dozi kitaleban zaidi
Pamoja na yote hii sio sawa. Mwanafunzi mpka anaenda chuo tayari ni mtu mzima kabisaaa, so sio ustaarabu kumlambisha sakafu. Tutasema yooote lakn mwisho wa siku hata anayetetea adhabu hii, angeambiwa yeye pia alale watu wacheze na nyama ya serikali sidhani kama anagekubali.
Mimi ningemkamata sheikh musuli wake na kuuvurumisha mbali abaki mtupu.Hao wanafunzi nao vilaza tu..yani mwanafunzi wa chuo unalalaje chini uchapwe viboko..haki angejua hajui.
#MaendeleoHayanaChama
Sema wanatengeneza misikule ambayo haiwezi kuhoji wala kukataa..Mimi ningemkamata sheikh musuli wake na kuuvurumisha mbali abaki mtupu.
Kumbe ndio ilikuwa hivyo! Shukran kwa ufafanuzi.Ukweli wa wanafunzi wa MUM waliosadikiwa kuchapwa na mwalimu waoView attachment 2172917
Alhamdulillah.alhamdulillah kwa neema ya uislamu na sunnah..
aaamyn, mkuu nimegundua tosha yetu na mfariji mkuu ni allah pekee huu uzi hata mimi umenionesha makubwa mno niliyokuwa siyajui, kweli waliyoyaficha kwenye nyoyo zao ni makubwa mno..Alhamdulillah.
Watu wana chuki mno na Uislam. Dah! Huu uzi umezidi kunionesha mifano. Japo Qur'an imetosha katika kutuambia kuhusu hilo. Allah atulinde dhidi ya Shari zao.
Sheria ya nchi wapi iliandika mwanafunzi wa chuo asichapwe?Nchi ina sheria, wao wanataka kutuletea shariia zinazotumika maeneo yaliyotawaliwa na magaidi
mwanafunzi bado ni mtoto tu kupigwa na kuonywa ni kama adhabu hivyo ni halaliUstaadh yuko sahihi, hiki kizazi kinahitaji bakora mpaka vyuoni huko...maana hakijielewi kabisa...
NdioMwanachuo ni mtoto?
Sisi hatutaki kuongozwa kwa Sharia za Kiarabu wala hatutaki kuongozwa kwa Sharia za Kikristo. Nchi yetu haina Dini na kitabu chake cha mwongozo ni KATIBA. Hivyo basi sisi hatutaki kuongozwa na Dini yoyote ila tunataka kuongozwa na KATIBA. Kama ni fimbo zikapigwe misikitini kwa wale wanaovunja kanuni na si kwingine.Nchi yetu inaheshimu dini za watu wote kwa hiyo nashauri waendeleze viboko kwa wote wasiofata Sharia maana huo ndio msingi wa waarabu, ni bakora tu mpaka mnyooshane sio mnaishia kusema hamli nguruwe Ila mnapasua watoto za watu balaa 😃 ni fimbo tu