Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro chatuhumiwa kutoa adhabu ya viboko kwa wanachuo

Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro chatuhumiwa kutoa adhabu ya viboko kwa wanachuo

Yes, chukulia vyovyote upendavyo. Huu uongo wenu ukiachiwa hivi hivi utaonekana kuwa ni ukweli. Semeni na andikeni ukweli, UONGO WENU HAUJENGI UNAZIDI KUBOMOWA.

Walimu washawahi kuchapwa viboko, itakuwa wanafunzi? mbona hamjafunguwa mabakuli yenu?

Uingie nyumba ya kuuza gongo anaekuzia Muislam useme hiyo ni nyumba ya kuuza gongo ya Kiislam?

Wacheni upuuzi huo.
Una kitu kinakusumbua kinaitwa hypocrisy, nyuzi zako nyingi unasema ukatitoliki NDio mapadre wanaonajisi watoto , ila apa unatenganisha Uislamu na muuza gongo muislamu
 
Muslim University ni chuo cha dini
Lakini kuna kanuni za vyuo, ambapo vyuo vyote hutakiwa kufuata kanuni hizo. Sasa kama kanuni zinakataza mwanafunzi wa chuo kuchapwa viboko, halafu wahadhiri wanachapa viboko kwa watu wazima, huko si kuvunja kanuni? Hicho chuo ni binafsi na unasema ni cha dini, lakini kinasimamiwa na serikali. Kama kikivunja kanuni lazima kiwajibishwe.
 
As a student of MUM you will be required to be diligent and exemplary at all times and observe institutional Code
of Conduct based on Islamic Moral values. Any antisocial behavior is not tolerated in the Muslim University of
Morogoro. Please obtain your copy of Students’ Code of Conduct through our website or the office of Dean of
Students once you complete registration.
 
So if you don't observe the institutional code of conduct based on Islamic Moral Values, you ought to be beaten, opposed to the principles of colleges, from which all colleges abides?
 
Lakini hapa hatujaelezwa kosa lao lilikua ni nini?
Maana mafuta ya kula yamekua adimu, yawezekana vijana walikutwa wakitumia "mafuta mbadala a.k.a noah", sasa taarifa kama hyo ikitangazwa ingeleta mushkeli, so wajomba wakaamua kuwatia dozi kitaleban zaidi
Pamoja na yote hii sio sawa. Mwanafunzi mpka anaenda chuo tayari ni mtu mzima kabisaaa, so sio ustaarabu kumlambisha sakafu. Tutasema yooote lakn mwisho wa siku hata anayetetea adhabu hii, angeambiwa yeye pia alale watu wacheze na nyama ya serikali sidhani kama anagekubali.
Ningekuwa ni mimi ningemchapa mtama sheikh hadi aende chini na msuli utupwe kule abaki na makende peke yake.
 
Hao wanafunzi nao vilaza tu..yani mwanafunzi wa chuo unalalaje chini uchapwe viboko..haki angejua hajui.

#MaendeleoHayanaChama
Mimi ningemkamata sheikh musuli wake na kuuvurumisha mbali abaki mtupu.
 
Jamaa yangu sasa ni afisa wa jeshi miaka ya 2015 mbona anasema walikua wanalambwa bakora.

Hilo halijaanza leo
 
Takbiiiiiiiiiiiiiiiirrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrriiiiiiiiiiiiiii
 
Alhamdulillah.

Watu wana chuki mno na Uislam. Dah! Huu uzi umezidi kunionesha mifano. Japo Qur'an imetosha katika kutuambia kuhusu hilo. Allah atulinde dhidi ya Shari zao.
aaamyn, mkuu nimegundua tosha yetu na mfariji mkuu ni allah pekee huu uzi hata mimi umenionesha makubwa mno niliyokuwa siyajui, kweli waliyoyaficha kwenye nyoyo zao ni makubwa mno..
 
kama watoto wenyewe wanachomeka chupa sehemu za siri unataka wafanyweje hao ni viboko,mie mkristo ila naunga hoja mashekhe wako sawa
 
Nchi yetu inaheshimu dini za watu wote kwa hiyo nashauri waendeleze viboko kwa wote wasiofata Sharia maana huo ndio msingi wa waarabu, ni bakora tu mpaka mnyooshane sio mnaishia kusema hamli nguruwe Ila mnapasua watoto za watu balaa 😃 ni fimbo tu
Sisi hatutaki kuongozwa kwa Sharia za Kiarabu wala hatutaki kuongozwa kwa Sharia za Kikristo. Nchi yetu haina Dini na kitabu chake cha mwongozo ni KATIBA. Hivyo basi sisi hatutaki kuongozwa na Dini yoyote ila tunataka kuongozwa na KATIBA. Kama ni fimbo zikapigwe misikitini kwa wale wanaovunja kanuni na si kwingine.
 
Back
Top Bottom