Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro chatuhumiwa kutoa adhabu ya viboko kwa wanachuo

Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro chatuhumiwa kutoa adhabu ya viboko kwa wanachuo

Wanafunzi wa chuo Kikuu cha Kiislam wadai walichapwa viboko.

View attachment 2172271
View attachment 2172273
Kwani Wanafunzi hawakuzielewa Joining Instructions? (vigezo na masharti ya kuzingatia pindi uwapo hapo chuoni kama mwanafunzi?) Kama ulikubaliana na Masharti & Vigezo, basi kamata chini.....😢😭 usilete za kuleta hapa - Unapaswa kuzingatia muzehe. ..Allahu aKbar'.(Mungu Mkubwa) Tshwap! Tshwap! x 5 🤣🤣
 
Nisingechapwa na chuo ungekua ndio mwisho kusoma,chuo hakipo kimoja tu hiko MUM vyuo vya uchochoroni vinakuaga na shida shida tu....This is Fucking bad tusitetee ujinga ujinga...
Wenzetu wameshatoka kwenye zama hiz za kudhani ili mtu awe na nidhamu ni shurti bakora ihusike....
 
Lakini hapa hatujaelezwa kosa lao lilikua ni nini?
Maana mafuta ya kula yamekua adimu, yawezekana vijana walikutwa wakitumia "mafuta mbadala a.k.a noah", sasa taarifa kama hyo ikitangazwa ingeleta mushkeli, so wajomba wakaamua kuwatia dozi kitaleban zaidi
Pamoja na yote hii sio sawa. Mwanafunzi mpka anaenda chuo tayari ni mtu mzima kabisaaa, so sio ustaarabu kumlambisha sakafu. Tutasema yooote lakn mwisho wa siku hata anayetetea adhabu hii, angeambiwa yeye pia alale watu wacheze na nyama ya serikali sidhani kama anagekubali.
 
Back
Top Bottom