Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro chatuhumiwa kutoa adhabu ya viboko kwa wanachuo

Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro chatuhumiwa kutoa adhabu ya viboko kwa wanachuo

Na wasirudie tena
385516535_3741803de4_w.jpg


Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Kijana wangu anavyopenda ngumi! Nafikiri video clip ingekuwa na heading tofauti, mhadhiri achezea vitasa tokea Kwa mwanachuo!
Ingekuwa tuko polisi tukihangaikia dhamana!

Haina tofauti na Ile kesi ya afisa elimu kata sijui tarafa kuchapa walimu viboko! Kwa kuchelewa darasani
 
Hapo huvai mlegezo, kapero, jeans za kuchana na upuuzi mwingine. Ni utaratibu uliopo, kama mtu hataki aende kwenye vyuo vingine! Hakuna anaelazimishwa kufauata maadili ya watu waliojipangia! Na hiyo ndio inaleta tofauti ya chuo hicho na vingine!
 
Hapo huvai mlegezo, kapero, jeans za kuchana na upuuzi mwingine. Ni utaratibu kama mtu hataki aende kwenye vyuo vingine! Hakuna anaelazimishwa kufauata maadili ya watu waliojipangia! Ni hiyo ndio inaleta tofauti ya chuo hicho na vingine!
Utofauti huletwa kwa kupika wataalamu na sio mavazi wanayozaa, acheni uzwazwa. Hiko chuo ndio maana kila siku Cha mwisho, Hakuna mwenye akili aliyefaulu vizuri atasoma hapo
 
Back
Top Bottom