Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro chatuhumiwa kutoa adhabu ya viboko kwa wanachuo

Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro chatuhumiwa kutoa adhabu ya viboko kwa wanachuo

Wanafunzi wa chuo Kikuu cha Kiislam wadai walichapwa viboko.

View attachment 2172271
View attachment 2172273
Basi hapa usikute yote haya ni kwa sababu wanafunzi wake wanashindwa kukariri kitabu kisicho na faida kwao (Quran). Nashauri hiki chuo kifungwe na walimu wake wavuliwe nguo hadharani wachapwe viboko na wanafunzi ili iwe fundisho kwa vyuo vingine vya kipuuzi hapa nchini.
 
Wanafunzi wa chuo Kikuu cha Kiislam wadai walichapwa viboko.

View attachment 2172271
Mleta mada mbona kichwa cha habari umesema uongo? Morogoro Tanzania hakuna chuo kikuu cha "Kiislaam". Hata hiyo barua ya wanafunzi inakusuta. Isome vizuri kisha omba moderators wabadili mada yako.

Chuo cha Waislam haimaanishi chuo cha "Kiislam".
 
Back
Top Bottom