Walichapwa baada ya kukutwa wanashiriki ushoga na usagaji?Kumbe waliochapwa ni mashoga na wasagaji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walichapwa baada ya kukutwa wanashiriki ushoga na usagaji?Kumbe waliochapwa ni mashoga na wasagaji?
Sijui hata choo kipya wamejenga pale[emoji2]Mumso nyie ni wajinga sana,badala uungozi wa shule muwasinikize waboreshe majengo Cha chuo na wafungue matawi mengi mikoani,
Mzee Mkapa aliwapa majengo ya Tanesco siku moja na Saut kule mwanza,
Saut wamejenga na kufungua matawi mengi Sana mikoani,lakini MUM wameshindwa kujenga hata kuyapaka rangi majengo ya chuo toka wapewe.
Hao walimu waliyotoa ashabu ya viboko kwa wanafunzi ,wanasitahili kupewa tuzo badala ya kuwaletea mambo ya kiswahili.
Wewe ndio maustaz wangefaidi hilo wezere lako yaani wanajisevia tu na mbata hadi linaumukaWapo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeona alivyo paishwa?Majaliwa pia alitandika waalimu walevi enzi hizo.
Moto gani..umechoma wangapi mpaka sasa..Moto unakungoja wewe unaezuwa uongo.
Wacha wachapike mana hata wanafunzi wenyewe hawajielewei.kama hivyo viboko vitasaidia kupunguza magaidi mtaani kwetu waviendeleze
Dini haitetewi na mtu, tunawasuta uongo wenu tu hapa.Badala ya kunifanya mimi nionekane mbaya, wewe ndio unaonekana moumbavu na mpuuzi wa kutwa nimeandika maneno machache ila umeshuka gazeti[emoji2]
Hata ndio bidii hii za kutetea dini ili allah aje akuone huko ahera basi nikupe pole tu.
Fungua hio akili yako iliyo brainwasheda uone kuwa chuo cha kiislamu ,muslim University of morogoro MUM kumetendeka kosa la ukiukwajiwa haki za binadamu tena kwa watu wenye akili na utashi.
Hizi hizi nyie watu wanakuwa mazombi utadhani ya majitu ya mfalme zamaridi[emoji2]
Sasa kuna tufauti gani na wewe
Jitazame ulivyo halafu uone kama hujaanza kuchomwa, tartiiiiib.Moto gani..umechoma wangapi mpaka sasa..
Dini zimejaa kutishana tu..
#MaendeleoHayanaChama
Kawadanganye wenzio..nimekuuliza moto huo umechoma wangapi mpaka sasa..?na upo wapi?je uliuona?unatumia aina gani ya kuni?Jitazame ulivyo halafu uone kama hujaanza kuchomwa, tartiiiiib.
Kwahili naunga mkono Kwa asilimia 109 kabisa,Kuna vitoto vya Udsm nakaa navyo karibu daah........vinastahili viboko kabisaUstaadh yuko sahihi, hiki kizazi kinahitaji bakora mpaka vyuoni huko...maana hakijielewi kabisa...
Hujioni, jitazame wewe kisha hesabu wenzako walio kama wewe, ukipata namba ilete hapa.Kawadanganye wenzio..nimekuuliza moto huo umechoma wangapi mpaka sasa..?na upo wapi?je uliuona?unatumia aina gani ya kuni?
Dini bila vitisho haziwezi pata wafuasi.
#MaendeleoHayanaChama
Mama tunae, twala asali tu.Kawadanganye wenzio..nimekuuliza moto huo umechoma wangapi mpaka sasa..?na upo wapi?je uliuona?unatumia aina gani ya kuni?
Dini bila vitisho haziwezi pata wafuasi.
#MaendeleoHayanaChama
Kawadanganye wenzio..nimekuuliza moto huo umechoma wangapi mpaka sasa..?na upo wapi?je uliuona?unatumia aina gani ya kuni?
Dini bila vitisho haziwezi pata wafuasi.
#MaendeleoHayanaChama
Kawadanganye wenzio..nimekuuliza moto huo umechoma wangapi mpaka sasa..?na upo wapi?je uliuona?unatumia aina gani ya kuni?
Dini bila vitisho haziwezi pata wafuasi.
#MaendeleoHayanaChama