Nashukuru Sana uongozi wa open University, kwa maana Sasa natamba kwa kuwa na kadegree kangu nilikohitimu 2011, isipokuwa Masters nimekwamishwa na msimamizi wangu! Endapo Kama uongozi wa OUT unapitia uzi huu wafanye uchunguzi hasa kwa idara ya EDUCATION, Mimi nilikuwa admitted na MED APPS, course work nimepita vzr tu! Lkn kazi yangu ya utafiti msimamizi wangu amenikwamisha huu Sasa unaenda Mwaka wa 5, na nishakata tamaa tu ya kumaliza! Kazi zangu namtumia hazifanyii kazi!
Binafsi namtakia maisha Marefu Yule mama na Mungu amsimamie ktk kazi zake!