Chuo Kikuu Huria (Open University of Tanzania)

Naomba kuuliza hivi inawezekana ukamaliza masomo na kutunukiwa cheti chako kabla ya muda wa masomo kuisha..kwa mfano course unayosoma duration period yake ni miaka 3 na ww mwanafunzi ukafanikiwa kumaliza ndani ya miaka miwili. Niwekeni sawa juu ya hili mana nina plan ya kusoma shahada ya sheria OUT
 
Mfano bacherol yoyote ile unatakiwa kusoma maximum unit 40 minimum 36 3years hivyo basi kuna mitihani aina mbili moja special annual examination unaweza andika muda wowte pale tangazo la kusajili masomo kwa ajili ya mtihani pili annual examination hivyo basi unaweza ukawa umesajili course 10 zenye unit 18 kwa mwaka wa kwanza tatu zenye unit 6 ukapiga kama special na nyingine ukaandika annual sasa unajikuta utamaliza unit zako ndani ya mda au chini ya mda sasa kumbuka ww ulisajiliwa intake gani kama ni January,April,July au October hivyo basi utasubilia intake yako ifike kwa mda muafaka huku ukiwa ushamaliza na kusubili mahafari kisha kuchukua cheti au transcript ila transcript nasikia unaweza pewa mapema tuuu
 
Ahsante sana mkuu kwa ufafanuzi mzuri
 
Back
Top Bottom