Chuo Kikuu Huria (Open University of Tanzania)

Iv je nawez soma agribusiness(stashahada) ,vgezo vpoje
Uwe una Astashahada yenye course inayo endana na fani unayo omba na GPA ya 2.0 na kuendelea.
Au uwe umemaliza kidato cha 6 ukiwa na principal pass 1 na subsidiary 1.
Kama unataka kusoma open university tembelea website yao ya www.out.ac.tz kama ni chuo tofauti fanya hivyo kukitembelea
 
OK minimum miaka mingap na no shngap kila koz?
 
wakuu naomba kujua kwa wale wanotaka kusoma kozi za IT na computer science pia utaratibu wa kusoma ni uleule wa kuwa nyumbani na kujisomea au wao wanalazimika kuhudhuria darasani kama vyuo vingine. Nimeuliza hivyo kutokana kwamba kozi tajwa zinahitaji practical zaidi.
 
Boss open kuna kuingia kwa intake January,april tayari hivyo bado July ambayo ndio dirisha risha funguliwa na washaanza kutuma maombi.Kisha kuna October intake 2021 pambana mkuuu ukamilishe ndoto zako
Asnt kwa ufafanuzi ngoja nfanye mchakato nijiunge
 
Hiv ukisoma hiki chuo unapata heshima kama aliyesoma udsm au udom au saut?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…