Hiyo kozi ya foundation hua inachukia muda GANI??OUT wanatoa vyeti ngazi ya Astashahada; Stashahada; Shahada; Shahada ya Uzamili; Shahada ya Uzamivu.
Pia ni chuo pekee nchini walioruhusiwa kuendesha kozi ya Foundation kwa wasio na vigezo vya kujiunga na vyuo vikuu.
Masomo yanatolewa kwa njia ya teknolojia ya habari na mawasiliano. Wanafunzi na wahadhiri wao wanakutana kupitia 'Zoom meeting'.
Ubora wa wahitimu ni wa kiwango kizuri sababu wanao uwezo kufanya kazi kwa njia ya tehama.
Asante
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app