Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Hivi majuzi nilikuwa kwenye Chuo kikuu maarufu hapa Tanzania nafikiri cha pili kwa ukubwa (Mazimbu Campus)
Kutokana na mgao wa umeme, shughuli nyingi zinaenda kwa kusua sua; Hata nikahoji ina maana Chuo kikuu hakina Generator?
Nikaambiwa wanayo tena kubwa ya kuendesha hiyo campus yote ila tatizo ni
1. Wizi wa mafuta (ndio sababu kuu) , ikifuatiwa na
2. Bajeti ya mafuta kuwa juu (hivyo haijawahi kuwasha kwa zaidi ya miaka 3 hadi 7 hivi). Utaweza kuelewa kuwa, kwa maiaka yote hiyo mafuta hayakuwa juu kiivyo
Nikahisi hii ni hatari sana kwa wasomi/viongozi tunao wa andaa
1. Hivi tuna andaa wasomi ambao wanajua kuwa Mafuta ya Generator yakiibiwa then solution iwe ni kutoiwasha?
2. Hivi tuna andaa wasomi ambao wanajua kuwa umeme ( Nishati) sio muhimu ila ni pale tu itakapo patikana?
3. Natamani hiyo Generator kama bado inawaka, ipewe taasis nyingine zinazo weza kuiendesha na kuisimamimia
Ushauri
Kuwe na utaratibu wa kubadilishana Viongozi wa juu wa Chuo mara wanapo staafu;
Mf: Makamu mkuu wa Chuo cha Sokoine atoke UD; na wa UD atoke UDOM nk
Hii itasaidia kuleta viongozi ambao hawajazoea kuishi na matatizo flani flani