Chuo Kikuu tawi la UDSM kujengwa Chato

Inshu ni Mshahara tu na hardship allowance
 
Nyie waha wa Kigoma nunueni matofali na nondo muikarabati Mv. Liemba mliyoachiwa na mjerumani, Tanzania mtaisikia tu kwa mbali.
 
Ni upotevu mkubwa wa fedha!
 
Magufuli na Mobutu hawakuwa na tofauti, ni madikteta yaliopendelea makwao waziwazi.

Hivi ile airport kuna ndege inatuwa hapo au ndio wanaanikia udaga?
Acha unafiki hata ungekua ni ww ungependelea upande kwenu hiyo ndio asili ya binadamu duniani kote haswa bara la Africa. So usipende kujifanya sana kuwa ww upo perfect sana tofauti na binadamu wengine mkuu.
 
Wale maprofesor Udom wamewezaje kukaa??

Tena porini kule
Unaijua chato ilipo au unaowayuka
 
Acha unafiki hata ungekua ni ww ungependelea upande kwenu hiyo ndio asili ya binadamu duniani kote haswa bara la Africa. So usipende kujifanya sana kuwa ww upo perfect sana tofauti na binadamu wengine mkuu.
Nioneshe Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete walichopendelea makwao.
 
Acha unafiki hata ungekua ni ww ungependelea upande kwenu hiyo ndio asili ya binadamu duniani kote haswa bara la Africa. So usipende kujifanya sana kuwa ww upo perfect sana tofauti na binadamu wengine mkuu.

..ujenzi wa airport Chato haukuwa na faida yoyote kwa wananchi wa kawaida wa wilaya hiyo.

..ningemuelewa Magufuli kama angewajengea wananchi wa Chato mradi wa maji, au kuboresha sekta za kilimo, ufugaji, na uvuvi.

..miradi aliyokuwa akipeleka Chato ilikuwa ni kujinufaisha kibinafsi, na sio wananchi, ndio maana wananchi wa huko bado ni masikini pamoja na mabilioni ya fedha kuwekezwa ktk wilaya yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…