Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,236
- 1,411
yas umepatia mdada!mbea ama dsm!!!?Teofilo kisanji
ushindwe!!!Kuna kile chuo kiko pale kijitonyama kinaitwa chuo cha ustawi wa jamii a.k.a chuo cha nyumba ndogo,a.k.a watoto wa sebuleni,a.k.a watoto ambiance, hongera na makumbusho.
Mh feis buku vip tenaushindwe!!!
Jamani nyapu ziko kule mwisho wa lami kwa mheshimiwa jerry slaa... Kampala unuversity kuna totozi utazani zimetoka uhabeshi...
Kweli kuna tofauti kubwa ya jinsi gani kila mtu anatumia kichwa chake...badala ya kufikiria kusoma, mtu anafikiria kina dada wazuri. what a strange world
anatukana chuo changu!!!Mh feis buku vip tena
Acha kwa watoto wa zuri udsm bana
dah..warembo,nenda muccobs,japo chuo kinabana lakin kuna watoto aisee..duuh