VMWare-Oracle
JF-Expert Member
- Dec 19, 2021
- 667
- 917
Sawa mkuuNgoja waje kukupa muongozo...
Mm mwenyewe naikubali dit ila nimesikia kua wamepunguza practicals kwamba wanaupiga mwingi.Ndo maana nawasikiliza wajumbe kwamba ni kweli au bado kipo bomba!!Hizo sifa mbaya unazosikia DIT ni zipi??
DIT hawana kubembelezana Kama hutaki kusoma unadisco au una retake modules akuna Cha ku carry Wala nn Kama unapenda mteremko nenda MUST
Kijana Kama unataka diploma kwelii njoo DIT au ATC
NB:Kama huwezi kusoma kwa bidii nenda hivo vyuo vingine
Mungu akijalia ukaja utanikuta me nipo hapa DIT nasoma biomedical engineering mwaka wa mwisho diploma lakin nmeplan kuunga bachelor ya electrical engineering mwezi wa 10 kama Mambo yakiwa sawaMm mwenyewe naikubali dit ila nimesikia kua wamepunguza practicals kwamba wanaupiga mwingi.Ndo maana nawasikiliza wajumbe kwamba ni kweli au bado kipo bomba!!
Na iwe hivyo (Amin).Vp kuhusu practicals hapo dit au ndo yaleyale ya 80%Mungu akijalia ukaja utanikuta me nipo hapa DIT nasoma biomedical engineering mwaka wa mwisho diploma lakin nmeplan kuunga bachelor ya electrical engineering mwezi wa 10 kama Mambo yakiwa sawa
Mdogo wangu nisikilize kama kweli una passion ya electrical engineering nenda Mbeya university of science and technology (MUST) haraka sna
Kasome iyo diploma
Nakwambia hutajuta Kwa sasa nina uzoefu (experience) navijua vyuo vyote vya engineering vizur sna.
I recommend that!

Hivi vyuo vitatu, MUST, DIT na ATC havina tofauti yeyote ile ya kitaaluma kwa level ya Diploma.Hizo sifa mbaya unazosikia DIT ni zipi??
DIT hawana kubembelezana Kama hutaki kusoma unadisco au una retake modules akuna Cha ku carry Wala nn Kama unapenda mteremko nenda MUST
Kijana Kama unataka diploma kwelii njoo DIT au ATC
NB:Kama huwezi kusoma kwa bidii nenda hivo vyuo vingine
Mpeleke MUST, hapo DIT panakabwa na mazingira finyu kulinganisha na idadi ya wanafunziHabari zenu wana JF.
Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2021.Najua matokeo hayajatoka kwa selection ya 2022 lakini huwa na penda kufatilia vitu mapema ili nijipange.Ningependa kupata mawazo yenu kuhusu hiyo title.(dhumuni kuu:nimechagua DIT kwenye selform but tangu nije home nasikia sifa mbaya na ninasikia kinazidi kushuka viwango mpaka naona nitaenda kupotea kitaaluma).Pengine naweza badilisha maamuzi mkinishauri.
#Kila mwenye moyo wa kuchangia thread hii abarikiwe na Mwenyezi Mungu
Sina mpango wa kukaa hosteliMpeleke MUST, hapo DIT panakabwa na mazingira finyu kulinganisha na idadi ya wanafunzi
Mkuu kipi sasa, ATC au ST.JOS?Na kwa nn?St Joseph University
Bro tofauti ipo Kati ya must na hivo vingine yaan( ATC na DIT) huku sisi ukifeli kuchomoa supp una retake yaan unarudia mwaka wenzako wanaendelea mwka mwingine wew unarudia Somo ulilofeli Ila MUST wana carry wenyew hamna Cha kurudia mwaka utalisoma Hilo somo ukiwa mwaka mwingineHivi vyuo vitatu, MUST, DIT na ATC havina tofauti yeyote ile ya kitaaluma kwa level ya Diploma.
Kitakachomfanya mtu achague ni mazingira na sababu zingine, ila siyo ubora wa elimu.
Vyuo vyote vya Tanzania almost ni equal but not same...ila inategemea na akili ya mwanafunzi mwenyeweHabari zenu wana JF.
Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2021.Najua matokeo hayajatoka kwa selection ya 2022 lakini huwa na penda kufatilia vitu mapema ili nijipange.Ningependa kupata mawazo yenu kuhusu hiyo title.(dhumuni kuu:nimechagua DIT kwenye selform but tangu nije home nasikia sifa mbaya na ninasikia kinazidi kushuka viwango mpaka naona nitaenda kupotea kitaaluma).Pengine naweza badilisha maamuzi mkinishauri.
#Kila mwenye moyo wa kuchangia thread hii abarikiwe na Mwenyezi Mungu
Sawa mkuuVyuo vyote vya Tanzania almost ni equal but not same...ila inategemea na akili ya mwanafunzi mwenyewe