VMWare-Oracle
JF-Expert Member
- Dec 19, 2021
- 667
- 917
Habari zenu wana JF.
Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2021.Najua matokeo hayajatoka kwa selection ya 2022 lakini huwa na penda kufatilia vitu mapema ili nijipange.Ningependa kupata mawazo yenu kuhusu hiyo title.(dhumuni kuu:nimechagua DIT kwenye selform but tangu nije home nasikia sifa mbaya na ninasikia kinazidi kushuka viwango mpaka naona nitaenda kupotea kitaaluma).Pengine naweza badilisha maamuzi mkinishauri.
#Kila mwenye moyo wa kuchangia thread hii abarikiwe na Mwenyezi Mungu