Chuo kipi ni kizuri kwa course ya diploma in electrical engineering hapa bongo?

Chuo kipi ni kizuri kwa course ya diploma in electrical engineering hapa bongo?

Nakuelewa mkuu na chakusema ni kwamba uwezo wa kwenda mit au Harvard ninao ila mm sio muhumini wa advance eti nipoteze muda alf niende kusoma huko niishie kuajiriwa.Asilimia kubwa ya TO's na waliokwenda huko wameishia kuwa walowez wakiwatumikia wazungu.Mm ninachohitaji ni chuo kitakachonishape kibongobongo ili nijue natokaje.Hustling is everything na kufanikiwa ni popote pale ila vitu vingine maamuz
Nimekuelewa kila la kheri
 
Mbeya University of Science and Technology (MUST) ni bora sana.

Ukikosa hapo nenda DIT. Hautajuta nakwambia
 
Ukikaa sikiliza maneno hutokaa usome chuo Tz. Utasema UDSM bora lakini mwingine atakwambia udsm wanafunzi wake ni wa huni (refer yule aliye tumia fanya nyeusi)!

Mimi kwa ushauri nenda kasome DIT tena ukimaliza unga hapo hapo degree!

NB: Hata ukisoma Oxford au harvard kama bichwa lako ligumu na hujitumia utakua empty set tu!
DIT atapasuka huyo awahi nafasi NIT
 
Nenda DIT ila machinga na wauza mihogo pale njee hawapo sahivi
 
Habari zenu wana JF.

Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2021.Najua matokeo hayajatoka pamoja na selection lakini ningependa kujua mapema ili nijipange(dhumuni kuu:nimechagua DIT kwenye selform but tangu nije home nasikia sifa mbaya kuhusu DIT kwamba inashuka viwango naomba unisaidie kunijuza wapi niende referring the title).

Kila utakayechangia Mwenyezi Mungu akubariki
Nakushauri tu subiria majibu yatoke kwanza
 
Back
Top Bottom