Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,172
Nilifundishwa ili nije kupata ajira mkuu Sasa Siwezi kuishi bila kujisumbua walau nipate income hapo ndipo napokumbana na kasumba.Kwani huko chuo walikufundisha kufanyaje ?
Je, unachotaka kukifanya ndicho ulichofundishwa chuo kukifanya ?
Kama HAPANA kwanini ufanye kitu ambacho hukuona kama unakihitaji tangu mwanzo ?
Ni swali zuri sana. Allah akuongoze kutafuta A ya maisha na siyo ya vyetiWakuu nimetoka kumaliza chuo mwaka Jana! Miaka mitatu yote sijawahi Pata hata supplementary (namaanisha Nina degree honorable). huku mtaani mambo yapo tofauti kidogo.
Kuna kiwango flani cha pesa ama cha uchumi nakitafakari nikifike kwa wakati lakini kila nikiload material bado!
Wakuu wenye uzoefu huku mtaani nipeni mbinu ama kanuni jinsi ya kuingiza pesa ya halali.
Nawaahidi mkinipa kanuni izo nitazisoma usiku na mchana sitowaangusha kabisa Nina uhakika na kichwa changu Sana.
we c mzee wa kusawazisha ,kasawazishe sasa kama unauhakika na kichwa chakoWakuu nimetoka kumaliza chuo mwaka Jana! Miaka mitatu yote sijawahi Pata hata supplementary (namaanisha Nina degree honorable). huku mtaani mambo yapo tofauti kidogo.
Kuna kiwango flani cha pesa ama cha uchumi nakitafakari nikifike kwa wakati lakini kila nikiload material bado!
Wakuu wenye uzoefu huku mtaani nipeni mbinu ama kanuni jinsi ya kuingiza pesa ya halali.
Nawaahidi mkinipa kanuni izo nitazisoma usiku na mchana sitowaangusha kabisa Nina uhakika na kichwa changu Sana.
Hahah ningejua kusawazisha ninmsingesumbuka kuleta uzi hapa mkuuwe c mzee wa kusawazisha ,kasawazishe sasa kama unauhakika na kichwa chako
Ulifundishwa ili kupata ajira wapi ?Nilifundishwa ili nije kupata ajira mkuu Sasa Siwezi kuishi bila kujisumbua walau nipate income hapo ndipo napokumbana na kasumba.
Kwenye Ile nimesoma bado mambo Hayajakaa Sawa kwa hiyo kama nilivyokuambia Siwezi kaa hivi hivi nimeona bora nijishugulishe kidogoUlifundishwa ili kupata ajira wapi ?
Je, huko ulikosoma walikwambia wana ubia na huko utakakopata ajira ?
Na kama ulifundishwa ili uje kupata "ajira" sasa kwanini hutumii elimu yako kupata hiyo ajira na badala yake unataka kupata ambacho huna "elimu" wala uzoefu nacho ?
Tafuta mtaji ununue jokofu then tafuta kijana anza kutengeneza barafu MPE akakusanye mapesa na utafurahi sana mkuuWakuu nimetoka kumaliza chuo mwaka Jana! Miaka mitatu yote sijawahi Pata hata supplementary (namaanisha Nina degree honorable). huku mtaani mambo yapo tofauti kidogo.
Kuna kiwango flani cha pesa ama cha uchumi nakitafakari nikifike kwa wakati lakini kila nikiload material bado!
Wakuu wenye uzoefu huku mtaani nipeni mbinu ama kanuni jinsi ya kuingiza pesa ya halali.
Nawaahidi mkinipa kanuni izo nitazisoma usiku na mchana sitowaangusha kabisa Nina uhakika na kichwa changu Sana.
Shuleni unasoma ama unajifunza kwanza halafu ndo unafanya mtihani, mtaani unafanya mtihani kwanza halafu ndo unajifunza wapi ulipokosea wapi ulipo anguka.Wakuu nimetoka kumaliza chuo mwaka Jana! Miaka mitatu yote sijawahi Pata hata supplementary (namaanisha Nina degree honorable). huku mtaani mambo yapo tofauti kidogo.
Kuna kiwango flani cha pesa ama cha uchumi nakitafakari nikifike kwa wakati lakini kila nikiload material bado!
Wakuu wenye uzoefu huku mtaani nipeni mbinu ama kanuni jinsi ya kuingiza pesa ya halali.
Nawaahidi mkinipa kanuni izo nitazisoma usiku na mchana sitowaangusha kabisa Nina uhakika na kichwa changu Sana.
Mkuu ngoja nikwambie ukweli halisi.Wakuu nimetoka kumaliza chuo mwaka Jana! Miaka mitatu yote sijawahi Pata hata supplementary (namaanisha Nina degree honorable). huku mtaani mambo yapo tofauti kidogo.