Chuoni sijawahi Pata SUP, Huku mtaani Kuna kanuni gani? Nipeni kanuni za pesa

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,601
Reaction score
1,172
Wakuu nimetoka kumaliza chuo mwaka Jana! Miaka mitatu yote sijawahi Pata hata supplementary (namaanisha Nina degree honorable). huku mtaani mambo yapo tofauti kidogo.

Kuna kiwango flani cha pesa ama cha uchumi nakitafakari nikifike kwa wakati lakini kila nikiload material bado!

Wakuu wenye uzoefu huku mtaani nipeni mbinu ama kanuni jinsi ya kuingiza pesa ya halali.

Nawaahidi mkinipa kanuni izo nitazisoma usiku na mchana sitowaangusha kabisa Nina uhakika na kichwa changu Sana.
 
Kwani huko chuo walikufundisha kufanyaje ?

Je, unachotaka kukifanya ndicho ulichofundishwa chuo kukifanya ?

Kama HAPANA kwanini ufanye kitu ambacho hukuona kama unakihitaji tangu mwanzo ?
 
Nilifundishwa ili nije kupata ajira mkuu Sasa Siwezi kuishi bila kujisumbua walau nipate income hapo ndipo napokumbana na kasumba.
 
Wakuu nimetoka kumaliza chuo mwaka Jana! Miaka mitatu yote sijawahi Pata hata supplementary (namaanisha Nina degree honorable). huku mtaani mambo yapo tofauti kidogo.

Kuna kiwango flani cha pesa ama cha uchumi nakitafakari nikifike kwa wakati lakini kila nikiload material bado!

Wakuu wenye uzoefu huku mtaani nipeni mbinu ama kanuni jinsi ya kuingiza pesa ya halali.

Nawaahidi mkinipa kanuni izo nitazisoma usiku na mchana sitowaangusha kabisa Nina uhakika na kichwa changu Sana.
Ni swali zuri sana. Allah akuongoze kutafuta A ya maisha na siyo ya vyeti
 
Wakuu nimetoka kumaliza chuo mwaka Jana! Miaka mitatu yote sijawahi Pata hata supplementary (namaanisha Nina degree honorable). huku mtaani mambo yapo tofauti kidogo.

Kuna kiwango flani cha pesa ama cha uchumi nakitafakari nikifike kwa wakati lakini kila nikiload material bado!

Wakuu wenye uzoefu huku mtaani nipeni mbinu ama kanuni jinsi ya kuingiza pesa ya halali.

Nawaahidi mkinipa kanuni izo nitazisoma usiku na mchana sitowaangusha kabisa Nina uhakika na kichwa changu Sana.
we c mzee wa kusawazisha ,kasawazishe sasa kama unauhakika na kichwa chako
 
Nilifundishwa ili nije kupata ajira mkuu Sasa Siwezi kuishi bila kujisumbua walau nipate income hapo ndipo napokumbana na kasumba.
Ulifundishwa ili kupata ajira wapi ?

Je, huko ulikosoma walikwambia wana ubia na huko utakakopata ajira ?

Na kama ulifundishwa ili uje kupata "ajira" sasa kwanini hutumii elimu yako kupata hiyo ajira na badala yake unataka kupata ambacho huna "elimu" wala uzoefu nacho ?
 
Kwenye Ile nimesoma bado mambo Hayajakaa Sawa kwa hiyo kama nilivyokuambia Siwezi kaa hivi hivi nimeona bora nijishugulishe kidogo
 
Darasa sio msikiti wa kanisa

Kubana matumizi sio njia ya utajiri

Kuwa mjuaji zaidi ya wengne sio fursa

Kuwa kimya sio tiba ya kukosa hela

Kuwa makini na maamzi yako
 
Upo na hobby ya kufanya kitu gani.?
Upo na mtaji kiasi gani?
Unadhani wapi unaweza kupata mtaji?
Location gani up0?
 
Wakuu nimetoka kumaliza chuo mwaka Jana! Miaka mitatu yote sijawahi Pata hata supplementary (namaanisha Nina degree honorable). huku mtaani mambo yapo tofauti kidogo.

Kuna kiwango flani cha pesa ama cha uchumi nakitafakari nikifike kwa wakati lakini kila nikiload material bado!

Wakuu wenye uzoefu huku mtaani nipeni mbinu ama kanuni jinsi ya kuingiza pesa ya halali.

Nawaahidi mkinipa kanuni izo nitazisoma usiku na mchana sitowaangusha kabisa Nina uhakika na kichwa changu Sana.
Tafuta mtaji ununue jokofu then tafuta kijana anza kutengeneza barafu MPE akakusanye mapesa na utafurahi sana mkuu
 
Wakuu nimetoka kumaliza chuo mwaka Jana! Miaka mitatu yote sijawahi Pata hata supplementary (namaanisha Nina degree honorable). huku mtaani mambo yapo tofauti kidogo.

Kuna kiwango flani cha pesa ama cha uchumi nakitafakari nikifike kwa wakati lakini kila nikiload material bado!

Wakuu wenye uzoefu huku mtaani nipeni mbinu ama kanuni jinsi ya kuingiza pesa ya halali.

Nawaahidi mkinipa kanuni izo nitazisoma usiku na mchana sitowaangusha kabisa Nina uhakika na kichwa changu Sana.
Shuleni unasoma ama unajifunza kwanza halafu ndo unafanya mtihani, mtaani unafanya mtihani kwanza halafu ndo unajifunza wapi ulipokosea wapi ulipo anguka.

#Hii ni kanuni ya msingi...
 
Jiandae kufeli sana huku mtaani. Yaani kama hujawahi kusup chuo basi huku uta-carry kabisaaaa...
Maisha mtaani hayana sijui formular maalum.
kama wewe ni mtafutaji kweli, angalia mtaaani kwako wana shida gani/ i mean kuna huduma/bidhaa gani haipatikani kirahisi? Je wewe unaweza kuifikisha karibu yao hyo huduma?
kama ndio basi ushapata pesa na utajiri. "We get money by solving other people problems"
 
Wakuu nimetoka kumaliza chuo mwaka Jana! Miaka mitatu yote sijawahi Pata hata supplementary (namaanisha Nina degree honorable). huku mtaani mambo yapo tofauti kidogo.

Kuna kiwango flani cha pesa ama cha uchumi nakitafakari nikifike kwa wakati lakini kila nikiload material bado!

Wakuu wenye uzoefu huku mtaani nipeni mbinu ama kanuni jinsi ya kuingiza pesa ya halali.

Nawaahidi mkinipa kanuni izo nitazisoma usiku na mchana sitowaangusha kabisa Nina uhakika na kichwa changu Sana.
Mkuu ngoja nikwambie ukweli halisi.
Maisha ya mtaani hakuna formula bali inahitaji ww mwenyewe uwe mtu wa kuchanganua mambo kwa haraka,hii ndio vijana wa sasa wanaita kujiongeza.
Kama shuleni ulikuwa mtu wa kukariri ili kupata GPA kubwa huku mtaani utafeli.
Mtaani ili ufanikiwe inakubidi uwe mtu wa kubadilikabadilika any time,Leo uko hivi kesho uko vile.
Mfano mzuri ni Kama Masanja Mkandamizaji utakuta leo anafanya comedy mara kesho anakuwa mkulima wa mchele mara kesho kutwa atakwambia yeye mchungaji.
Sasa ukiulizia formula ya kitu Kama hii ni ngumu sana kuielezea.
 
Mkuu fuga ng'ombe, utauza maziwa, kwato, ngozi, pembe... Utapiga hela sana
 
Back
Top Bottom