Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,172
Wakuu nimetoka kumaliza chuo mwaka Jana! Miaka mitatu yote sijawahi Pata hata supplementary (namaanisha Nina degree honorable). huku mtaani mambo yapo tofauti kidogo.
Kuna kiwango flani cha pesa ama cha uchumi nakitafakari nikifike kwa wakati lakini kila nikiload material bado!
Wakuu wenye uzoefu huku mtaani nipeni mbinu ama kanuni jinsi ya kuingiza pesa ya halali.
Nawaahidi mkinipa kanuni izo nitazisoma usiku na mchana sitowaangusha kabisa Nina uhakika na kichwa changu Sana.