TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,864
- 5,254
Tunaita mambo ya kishamba kabisa.Mmeshaamua kuharibiana biashara kwa mbinu za kihuni!?
Mwanamke alikuwa anakojoa vipi kwenye chupa?Kuna walakini hapo imekuwaje labda alikuwa anaogopa kwenda chooni wapangaji wenzake, au ni Nini sasa
Hahahahaha😂😂Supu ikichemka vizuri na viungo kukolea, rangi yake ya njano huwa inafanana kabisa na hiyo bidhaa chupani hapo.
Tuseme aliweza kukojoa, unatunzaje hadi zifike nyingi kiasi hicho? Kwa nini ukiamka usiende kuumwagaMwanamke alikuwa anakojoa vipi kwenye chupa?
Kwa nini asiwe anatupa chupa aliyotumia kila ikifika asubuhi? Why azikusanye?Kuna walakini hapo imekuwaje labda alikuwa anaogopa kwenda chooni wapangaji wenzake, au ni Nini sasa
Hahahahaha😂😂Mmeshaamua kuharibiana biashara kwa mbinu za kihuni!?
Probably hiyo mikojo ilikwa na 'umuhimu maalum' kwa huyo aliyekuwa akiintunza.Tuseme aliweza kukojoa, unatunzaje hadi zifike nyingi kiasi hicho? Kwa nini ukiamka usiende kuumwaga
Hahahahaha!Tunaita mambo ya kishamba kabisa.
Kama chupa za mikojo ni zake wao zinawahusu nini?
Mbuzi kafia kwa muuza supuDadeq😂🙌🏿