TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,864
- 5,254
- Thread starter
- #21
Imani za ki-shirki?😂Itakuwa ni zile imani tu…..
Imani za ki-shirki?😂Itakuwa ni zile imani tu…..
Mbinu za kivitahivi mbunye anaikingaje kwenye kimdomo cha chupa?
Umuhimu gani?😂😂Probably hiyo mikojo ilikwa na 'umuhimu maalum' kwa huyo aliyekuwa akiintunza.
Kwa akili nyepesi tu,inawezekanaje mtu mzima,mjasiriamali na mwenye majukumu arundike takataka sehemu yake ya biashara?Kuna mawili hapo ambapo moja lipo sahihi.Moja,mjasiriamali hayupo timamu kiakili/kadanganywa au wahuni wamemuwekea uchafu kumuharibia.Tunaita mambo ya kishamba kabisa.
Kama chupa za mikojo ni zake wao zinawahusu nini?
Mambo ya walimwenguDuh 😳 😳 😳 😳 😳
Hahahahaha😂😂
Unahisi ni mbinu chafu?
Kwa akili nyepesi tu,inawezekanaje mtu mzima,mjasiriamali na mwenye majukumu arundike takataka sehemu yake ya biashara?Kuna mawili hapo ambapo moja lipo sahihi.Moja,mjasiriamali hayupo timamu kiakili/kadanganywa au wahuni wamemuwekea uchafu kumuharibia.
Kaka mbona akili TU kwani mtu hawezi kojoa kwenye sufuria au kisadohivi mbunye anaikingaje kwenye kimdomo cha chupa?
Hapo inabidi 'abinywe' ili afunguke.Umuhimu gani?😂😂
Walaji hoii😂Mbuzi kafia kwa muuza supu
caTuseme aliweza kukojoa, unatunzaje hadi zifike nyingi kiasi hicho? Kwa nini ukiamka usiende kuumwaga
mbunye ya mama ntilie 🤣 🤣 🤣hivi mbunye anaikingaje kwenye kimdomo cha chupa?
ShabahaMwanamke alikuwa anakojoa vipi kwenye chupa?