Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Ndo maana chakula cha mama ntilie kitamu sana.Tazama taharuki iliyotokea baada ya kukutwa chupa zaidi ya 2,000 za mikojo ndani kwa Mama Ntilie.
Je, hii ni uchawi, au kuna sababu nyingine nyuma ya tukio hili la kushangaza?
View attachment 3649783
Mmh! Mkojo wa mtoto tu siwezi kuuvumilia na ndio hata haunuki itakua wa jitu zima,Hukohuko kuna yule mwamba alikua na chupa kibao na ndoo kibao kajaza kinyesi.
Na anahojiwa anajibu normal kabisa as if ni kitu ya kawaida.
Sijui huwa wanalala vipi na hiyo.
Dr. Mariposa kikwapa tu kinatukutoa roho, utaweza harufu ya kojo la miaka?? Au ndo ungekuwepo ungewatia mibisu ya tumbo tu.
Kuna vitu ukifanya mara ya kwanza utajishangaa na kuahidi hutorudia, ila kadri unavyozidi kufanya utaona ni kawaida na utaiaminisha akili yako kua ni sahihi.Mmh! Mkojo wa mtoto tu siwezi kuuvumilia na ndio hata haunuki itakua wa jitu zima,
Watu wana matatizo ya akili, trust me