Chura, shape, sura na kazi nzuri ya mkeo vimekusaidia nini katika maisha?

Chura, shape, sura, ni mental satisfaction, na kuleta hamu ya kupiga Mambo, mke mzuri, analeta self esteem,
Kazi na kipato chake,ni swala LA uchumi, Luna vitu atafsnya, mfsno mdogo wake akitaka pocket money ya chuo, atamaliza mwrnyewe, hiyo gharama hauibebi,
Ila inategemea, maana kama una mkwanja kama Eron musk, ka mshahara ka mkeo,sio muhimu
 
Umeshindwa kumdhibiti na kuna kila dalili hakupendi.
Mwanamke akikupenda utatumia chochote kilichochake, tena atakupa mwenyewe na usipotumia vyake ataona haumpendi.

Hapo jihadhari siku ulishuka kiuchumi sio ajabu akakunyanyasa au kukuacha
Umesema sahihi, huyo jamaa hana tofauti namimi
 
Upo sahihi kabisaaaaaa.
 
Mapenzi ni biashara kama biashara nyingine Kwa wanawake,wanatofautiana office tu!
 
Comments reserved
 
Pua kama ngumu nakupenda tuu!
 
Nakubaliana na wewe kabisa kabisa,,
na usiombe kawe kembamba kamesoma kanaendesha ki "baby worker" keupe halafu kanavaa miwani,, utakubali show ya maisha,,

msinibishie anayesifia mvua jua imemnyeshea,,
Mziwa ukaingia mkenge kwa rangi ya madhiwa mtoto ana ng'aaaa sopu sopu 🤣🤣🤣🤣
 
KATAA NDOA tumetunza majibu yetu hapa tunaibia majibu ya ma broo lia lia kwanza.

Ila maselaa, uyoo mtotoo uyoo!!!
Mtoto kautaaa 。。。。Mtoto kautakaa!!
 
Nakubaliana na mrrta mada unaweza sema tabia tutafundishana. Hii sio keel kina watu Mungu ashawashindwa sembuse wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…