Chura, shape, sura na kazi nzuri ya mkeo vimekusaidia nini katika maisha?

Kikubwa 'jiko' liwe linafanya kazi vizuri.
Ukipiga stata moja tu, engine imeshachemka! ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
Mengine majaaliwa.
 
Moja ya matarajio yasiyo na uhalisia ktk maisha ya ndoa ni kuwaza kuwa "kwenye ndoa kuna Raha na furaha". Kamwe hili halipo.

Huwa wanaume wanahangaika kutafuta wanawake wenye mjumuiko (package) wa chura, shape, sura, rangi na kazi nzuri wakidhani vitu hivi vitaongeza raha na furaha ktk ndoa zao.

Wengi wameishia kupata msongo wa mawazo tu baada ya kugundua kuwa vyote hivi ni ubatili mtupu ktk ndoa. Wametumia nguvu na gharama kubwa kuvipata lkn having faida

1. Tako kubwa, shape, sura na rangi nzuri havileti ugali mezani.
2. Mshahara mkubwa wa mwanamke kutoka kwenye kazi yake nzuri hauonekani unapoenda. Hachangii chochote. Zaidi sana ataanza kuanzisha ujenzi ama biashara zake kwa siri.

Oa darasa la saba ambaye atatawalika, atakuwa msikivu, unaweza kumtuma, atalea watoto wako muda wote na utamtumia kukuza kipato. Haya mabeijiing, masuperwoman, manaharakati, mazungumza kiingereza ni mabishi, majuaji huwa hayazai, na yakizaa ni mtoto mmoja tu. Kwasabb yashatoa mimba sana hadi kufikia huko vyuoni.

Halafu wana wapenzi wengi mno, waliosoma nao ktk ngazi zote za elimu. Kuchapiwa ni nje nje. Hakuna mwanamke mbeijing asiyechapwa.

Nimemaliza!
Hoja imeshiba na imejitosheleza...mimi moja wapo ambae nimeyakanyaga haya ma Beijin japo langu lina kazi nzuri lakin elimu ya wastan...Shida ni vile ulivyo vitaja.
Hakuna ela mezani,huwezi kumtuma akaenda bila kuhoji na ujibu vizuri niko na majuto haya maisha.

Any way na mimi nimeamua kujijengea kamjengo wangu kwa Siri nikakwapue Mke wapili nimkimbie mazima hili beijim
 
wastan...Shida ni vile ulivyo vitaja.
Hakuna ela mezani,huwezi kumtuma akaenda bila kuhoji na ujibu vizuri niko na majuto haya maisha.

Any way na mimi nimeamua kujijengea kamjengo wangu kwa Siri nikakwapue Mke wapili nimkimbie mazima hili beijim
๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚. Haya mabeijiing ni shida.
 
1. Chura, Sura vinaleta hamasa katika ngono.
2. Vinafurahisha kila mara ukimtazama Mkeo, hachoshi. Wewe kazi yako ni kumtunza tuu.
2. Akivaa nguo anapendeza na hiyo inakupa ufahari popote uendako na ukiwa naye. Iwe ni Kanisani, au matukio ya jumuiya Mkeo akiwa na Sura na shape nzuri Sifa zinakuja kwako kuwa pale mwamba umeweza.

3. Ukizaa Watoto hasa wakike unazaa Watoto walionyooka hasa wakifuata maumbile ya Mama Yao. Shape na Sura nzuri ni Mbegu nzuri Kwa kizazi chako hasa mabinti.
Faida itakuja pale Watoto wako hawatapata shida ndogondogo za kutafuta wachumba na watapata upendeleo Kwa baadhi ya mambo Kutokana na uzuri waliorithi Kwa mama Yao.

4. Ni sifa na ufahari kuwa na MKE mzuri.
Hata Ibrahim alipata hifadhi Kwa urahisi nchi za mbali Kwa Sababu ya uzuri WA Mkewe.
Ni rahisi ukiwa na MKE mzuri Kupata mkopo kupitia uzuri wake.
Mwanamke mzuri Maisha hayawe,I kumshinda.

5. Watoto watajivunia uzuri WA Mama Yao.

6. Kazi ya Mkeo itazidisha uimara wa familia. Hasa kama atakuwa anakupenda na unaakili za mwanaume.

7. Dunia yote Hii, nature inaagiza Watu waoe Wanawake Wazuri Sana. Nature ni rahisi kukusapoti kama utaweza kuoa mwanamke mzuri mwenye Sifa ulizozitaja.

Ni ndoto ya kila Mwanadamu kuoa mwanamke mwenye Sifa ulizozitaja hapo.
Mengine huja kama visingizio tuu.
Namba 4 ,mtibeli ee ,sijaelewa mkewangu mzuri anafanyaje ili nikopesheke au unamanisha kuchapiwa
 
Nakubaliana na wewe kabisa kabisa,,
na usiombe kawe kembamba kamesoma kanaendesha ki "baby worker" keupe halafu kanavaa miwani,, utakubali show ya maisha,,

msinibishie anayesifia mvua jua imemnyeshea,,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Moja ya matarajio yasiyo na uhalisia ktk maisha ya ndoa ni kuwaza kuwa "kwenye ndoa kuna Raha na furaha". Kamwe hili halipo.

Huwa wanaume wanahangaika kutafuta wanawake wenye mjumuiko (package) wa chura, shape, sura, rangi na kazi nzuri wakidhani vitu hivi vitaongeza raha na furaha ktk ndoa zao.

Wengi wameishia kupata msongo wa mawazo tu baada ya kugundua kuwa vyote hivi ni ubatili mtupu ktk ndoa. Wametumia nguvu na gharama kubwa kuvipata lkn having faida

1. Tako kubwa, shape, sura na rangi nzuri havileti ugali mezani.
2. Mshahara mkubwa wa mwanamke kutoka kwenye kazi yake nzuri hauonekani unapoenda. Hachangii chochote. Zaidi sana ataanza kuanzisha ujenzi ama biashara zake kwa siri.

Oa darasa la saba ambaye atatawalika, atakuwa msikivu, unaweza kumtuma, atalea watoto wako muda wote na utamtumia kukuza kipato. Haya mabeijiing, masuperwoman, manaharakati, mazungumza kiingereza ni mabishi, majuaji huwa hayazai, na yakizaa ni mtoto mmoja tu. Kwasabb yashatoa mimba sana hadi kufikia huko vyuoni.

Halafu wana wapenzi wengi mno, waliosoma nao ktk ngazi zote za elimu. Kuchapiwa ni nje nje. Hakuna mwanamke mbeijing asiyechapwa.

Nimemaliza!
mwanamke mzuru ni yeyote yule uliyempenda hata akiwa na madhaifu gani kiuumbaji. ila kwangu, hasa kwa huyu niliyenaye, pamoja na kwamba amezaa watoto kadhaa, lakini chura yake ni ya kawaida, hana tumbo, na pia ni camel foot.

yaani tangu awali sikuwa napenda mwanamke ambaye akilala chali kitu ipo nyumba sana kwenye ikibindankoi, inaonekana hata hapa juu tu, mguu wa ngania yaani. ile inakuwa rahisi kwa katerero, rahisi unapiga wakati unasukua beans na camel foot wote huwa ina nyama nyinginyingi pale na beans imechomoza. ni tamu sana. namshukuru Mungu kwa huyu niliyenaye. kama kuna watoto mtaniwia radhi kufunguka. wapo wale wenye viuno vimerudi nyuma wanafaa kwa chuma mboga tu style zingine hazipendezi. ukija mabonge, likitu limejaaaa hadi beans haionekani, akilalia tumo, unaitafuta. ila kiujumla, mwanamke mzuri ni mzuri kwako yule uliyempenda na ambaye Mungu amekupa (kama ametoka kwa Mungu) anayefanana na wewe.
 
Moja ya matarajio yasiyo na uhalisia ktk maisha ya ndoa ni kuwaza kuwa "kwenye ndoa kuna Raha na furaha". Kamwe hili halipo.

Huwa wanaume wanahangaika kutafuta wanawake wenye mjumuiko (package) wa chura, shape, sura, rangi na kazi nzuri wakidhani vitu hivi vitaongeza raha na furaha ktk ndoa zao.

Wengi wameishia kupata msongo wa mawazo tu baada ya kugundua kuwa vyote hivi ni ubatili mtupu ktk ndoa. Wametumia nguvu na gharama kubwa kuvipata lkn having faida

1. Tako kubwa, shape, sura na rangi nzuri havileti ugali mezani.
2. Mshahara mkubwa wa mwanamke kutoka kwenye kazi yake nzuri hauonekani unapoenda. Hachangii chochote. Zaidi sana ataanza kuanzisha ujenzi ama biashara zake kwa siri.

Oa darasa la saba ambaye atatawalika, atakuwa msikivu, unaweza kumtuma, atalea watoto wako muda wote na utamtumia kukuza kipato. Haya mabeijiing, masuperwoman, manaharakati, mazungumza kiingereza ni mabishi, majuaji huwa hayazai, na yakizaa ni mtoto mmoja tu. Kwasabb yashatoa mimba sana hadi kufikia huko vyuoni.

Halafu wana wapenzi wengi mno, waliosoma nao ktk ngazi zote za elimu. Kuchapiwa ni nje nje. Hakuna mwanamke mbeijing asiyechapwa.

Nimemaliza!
Hilo nalo mkalitizame
 
1. Chura, Sura vinaleta hamasa katika ngono.
2. Vinafurahisha kila mara ukimtazama Mkeo, hachoshi. Wewe kazi yako ni kumtunza tuu.
2. Akivaa nguo anapendeza na hiyo inakupa ufahari popote uendako na ukiwa naye. Iwe ni Kanisani, au matukio ya jumuiya Mkeo akiwa na Sura na shape nzuri Sifa zinakuja kwako kuwa pale mwamba umeweza.

3. Ukizaa Watoto hasa wakike unazaa Watoto walionyooka hasa wakifuata maumbile ya Mama Yao. Shape na Sura nzuri ni Mbegu nzuri Kwa kizazi chako hasa mabinti.
Faida itakuja pale Watoto wako hawatapata shida ndogondogo za kutafuta wachumba na watapata upendeleo Kwa baadhi ya mambo Kutokana na uzuri waliorithi Kwa mama Yao.

4. Ni sifa na ufahari kuwa na MKE mzuri.
Hata Ibrahim alipata hifadhi Kwa urahisi nchi za mbali Kwa Sababu ya uzuri WA Mkewe.
Ni rahisi ukiwa na MKE mzuri Kupata mkopo kupitia uzuri wake.
Mwanamke mzuri Maisha hayawe,I kumshinda.

5. Watoto watajivunia uzuri WA Mama Yao.

6. Kazi ya Mkeo itazidisha uimara wa familia. Hasa kama atakuwa anakupenda na unaakili za mwanaume.

7. Dunia yote Hii, nature inaagiza Watu waoe Wanawake Wazuri Sana. Nature ni rahisi kukusapoti kama utaweza kuoa mwanamke mzuri mwenye Sifa ulizozitaja.

Ni ndoto ya kila Mwanadamu kuoa mwanamke mwenye Sifa ulizozitaja hapo.
Mengine huja kama visingizio tuu.
๐Ÿซก๐Ÿซก๐Ÿซก๐Ÿซก
 
Hoja imeshiba na imejitosheleza...mimi moja wapo ambae nimeyakanyaga haya ma Beijin japo langu lina kazi nzuri lakin elimu ya wastan...Shida ni vile ulivyo vitaja.
Hakuna ela mezani,huwezi kumtuma akaenda bila kuhoji na ujibu vizuri niko na majuto haya maisha.

Any way na mimi nimeamua kujijengea kamjengo wangu kwa Siri nikakwapue Mke wapili nimkimbie mazima hili beijim
๐Ÿ˜…๐Ÿซก usioe tena .
 
Mimi napenda mwanamke mzuri wa sura tu. Mambo ya shape siyapi kipaumbele. Shape sio constant factor, kuna wanawake walikua wana shape namba nane katika ubinti, baada ya kuzaa zimepotea.

Binafsi mwanamke akishakua na kazi na akawa anajifanya feminist ananikata stim. Sitaki hata ukaribu nae hata awe mzuri vipi. Nikija kuoa ntaoa hawa form 4 graduates, mwenye kipawa cha biashara, submissive na mwenye hofu ya Mungu tu.
 
Muscular feminist.....
Dizasta vina ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
 
Siku Zote usitegemee pesa ya Mwanamke ndani ya nyumba, hata kama umemfungulia miradi ya kuingiza kipato pesa zao wanajua wanapozipeleka, hata baba yako mzazi ukumuuliza atakwambia pesa ya mama yako sijui inaenda wapi, wanawake ni WA Siri na wabinafsi.
 
Hoja imeshiba na imejitosheleza...mimi moja wapo ambae nimeyakanyaga haya ma Beijin japo langu lina kazi nzuri lakin elimu ya wastan...Shida ni vile ulivyo vitaja.
Hakuna ela mezani,huwezi kumtuma akaenda bila kuhoji na ujibu vizuri niko na majuto haya maisha.

Any way na mimi nimeamua kujijengea kamjengo wangu kwa Siri nikakwapue Mke wapili nimkimbie mazima hili beijim
Kwamba huyo mke wa pili atakuwa malaika! Jitafute jombaa...
 
Back
Top Bottom