Chura, shape, sura na kazi nzuri ya mkeo vimekusaidia nini katika maisha?

1. Chura, Sura vinaleta hamasa katika ngono.
2. Vinafurahisha kila mara ukimtazama Mkeo, hachoshi. Wewe kazi yako ni kumtunza tuu.
2. Akivaa nguo anapendeza na hiyo inakupa ufahari popote uendako na ukiwa naye. Iwe ni Kanisani, au matukio ya jumuiya Mkeo akiwa na Sura na shape nzuri Sifa zinakuja kwako kuwa pale mwamba umeweza.

3. Ukizaa Watoto hasa wakike unazaa Watoto walionyooka hasa wakifuata maumbile ya Mama Yao. Shape na Sura nzuri ni Mbegu nzuri Kwa kizazi chako hasa mabinti.
Faida itakuja pale Watoto wako hawatapata shida ndogondogo za kutafuta wachumba na watapata upendeleo Kwa baadhi ya mambo Kutokana na uzuri waliorithi Kwa mama Yao.

4. Ni sifa na ufahari kuwa na MKE mzuri.
Hata Ibrahim alipata hifadhi Kwa urahisi nchi za mbali Kwa Sababu ya uzuri WA Mkewe.
Ni rahisi ukiwa na MKE mzuri Kupata mkopo kupitia uzuri wake.
Mwanamke mzuri Maisha hayawe,I kumshinda.

5. Watoto watajivunia uzuri WA Mama Yao.

6. Kazi ya Mkeo itazidisha uimara wa familia. Hasa kama atakuwa anakupenda na unaakili za mwanaume.

7. Dunia yote Hii, nature inaagiza Watu waoe Wanawake Wazuri Sana. Nature ni rahisi kukusapoti kama utaweza kuoa mwanamke mzuri mwenye Sifa ulizozitaja.

Ni ndoto ya kila Mwanadamu kuoa mwanamke mwenye Sifa ulizozitaja hapo.
Mengine huja kama visingizio tuu.
Mmh! Mkuu umefunguka vizuri sana. Lkn maelezo yako ni kama template. Ndiyo ilivyopswa kuwa lkn kiuhalisia siyo hivyo.

Umesema " ni rahisi kupata mkopo mke akiwa mzuri". Hapa ujue ushachapiwa.

Kipato humfanya mke kuwa na kiburi kisichoelezeka.

Na unaweza kuwa una hamasika ukimtazama lkn mkiwa chumbani anakunyima kwasabb anajiona mzuri sana
 
Y

Umeeleweka sana ulchokosea n kutokuweka lipa namba tuh
 
Mmh! Mkuu umefunguka vizuri sana. Lkn maelezo yako ni kama template. Ndiyo ilivyopswa kuwa lkn kiuhalisia siyo hivyo.

Umesema " ni rahisi kupata mkopo mke akiwa mzuri". Hapa ujue ushachapiwa.

Kipato humfanya mke kuwa na kiburi kisichoelezeka.

Na unaweza kuwa una hamasika ukimtazama lkn mkiwa chumbani anakunyima kwasabb anajiona mzuri sana

Mwanamke anaweza kuwa Mbaya na akakunyima tuu.

Tabia Mbaya Ipo Kwa wote.
Alafu niliwahi kuandika kuwa Wanaume MABWEGE ndio wananyimwa na wake zao.

Sasa utachagua hata ukiwa bwege unyimwe na Mwanamke asiye na mvuto au unyimwe na Mwanamke mzuri. Kwako kipi ni Bora?

Kiburi cha Mwanamke kinatokan na yeye kuolewa na Mwanaume asiye na hadhi(mwanaume wa ndoto yake). Hajakupenda lazima awe na Kiburi na akutese.

Nawajua wamama wengi wenye vipato kuliko Waume zao na wanawaheshimu, wengine wametoka katik familia Bora kuliko familia za Waume zao na wanawaheshimu.

Ishu inaanzia tangu mwanzo, kama Mwanamke Hakupendi tokea mwanzo, ukamlazimisha lazima upasuke Huko mbeleni.

Mwanamke ni dhaifu Kwa mwanaume anayempenda, halikadhalika Kwa mwanaume ni dhaifu Kwa Mwanamke anayempenda.

Watu hawaangalii tuu uzuri na tamaa za ngono Bali wanaangalia pia Mbegu
 
Mke ni full package ambayo ni tabia na sifa...Elimu ni lazima kwa mwanamke na mwanaume ila sio added advantage kwa sababu ni lazima mtu asome kama takwa la lazima sio ombi.

Jaalia watoto wako wa kike wote wawe darasa la saba ,je unajisikiaje ? Acha watu wasome haswa wanawake ndio kipaumbele .

Suala la ndoa unatakiwa ufuate vigezo vyako binafsi .
 
1. Chura, Sura vinaleta hamasa katika ngono.
2. Vinafurahisha kila mara ukimtazama Mkeo, hachoshi. Wewe kazi yako ni kumtunza tuu.
2. Akivaa nguo anapendeza na hiyo inakupa ufahari popote uendako na ukiwa naye. Iwe ni Kanisani, au matukio ya jumuiya Mkeo akiwa na Sura na shape nzuri Sifa zinakuja kwako kuwa pale mwamba umeweza.

3. Ukizaa Watoto hasa wakike unazaa Watoto walionyooka hasa wakifuata maumbile ya Mama Yao. Shape na Sura nzuri ni Mbegu nzuri Kwa kizazi chako hasa mabinti.
Faida itakuja pale Watoto wako hawatapata shida ndogondogo za kutafuta wachumba na watapata upendeleo Kwa baadhi ya mambo Kutokana na uzuri waliorithi Kwa mama Yao.

4. Ni sifa na ufahari kuwa na MKE mzuri.
Hata Ibrahim alipata hifadhi Kwa urahisi nchi za mbali Kwa Sababu ya uzuri WA Mkewe.
Ni rahisi ukiwa na MKE mzuri Kupata mkopo kupitia uzuri wake.
Mwanamke mzuri Maisha hayawe,I kumshinda.

5. Watoto watajivunia uzuri WA Mama Yao.

6. Kazi ya Mkeo itazidisha uimara wa familia. Hasa kama atakuwa anakupenda na unaakili za mwanaume.

7. Dunia yote Hii, nature inaagiza Watu waoe Wanawake Wazuri Sana. Nature ni rahisi kukusapoti kama utaweza kuoa mwanamke mzuri mwenye Sifa ulizozitaja.

Ni ndoto ya kila Mwanadamu kuoa mwanamke mwenye Sifa ulizozitaja hapo.
Mengine huja kama visingizio tuu.
Kwanza hakuna mwanamke mzuri mbele ya mwanaume ambaye alishalala nae kwa kipind cha mwaka mmoja ....Hiyo ni nature ya mwanaume kukinai baada ya mwaka mbwembwe zinaisha.

Mwanaume anaendelea kupendezewa na mkewe zaidi baada ya mwaka kutokana na tabia na jinsi anamuheshimu na company yake kiujumla.

Pia hakuna mama mbaya mbele ya mwanae hata kichaa mwanae anamuona ni mama mzuri akiwa mdogo kabisa.

Unapoongelea uzuri ni jambo pana sana na shape ni kawaida kuna mengi unaweza kufikria ukiwa ndani ya ndoa kuhusu mwili wa mwenza wako then ukakutoa kweny mood kama harufu ,uchafu,unene.

Shape na umbile katika mtazamo wa ngono na kuvutia ngono ,ni jambo linaloleta kukinai na kitu fulani yaani ile shape utaona kawaida eg..Leo kuna wadada maarufu wamejikondesha lakini bado ni brand kwa vile binafsi wao ni brand tosha kwa umaarufu wao na sio shape.

Kila binadamu ni mzuri inategemea na moyo ya mtu amekuwa attached vip kwa mtu huyo mfano kwa sura ,rangi ,tabia ,akili ,uwezo , pesa....Hizo ni baadhi ya vichocheo vya mtu kumpenda mwingine .
 
Moja ya matarajio yasiyo na uhalisia ktk maisha ya ndoa ni kuwaza kuwa "kwenye ndoa kuna Raha na furaha". Kamwe hili halipo.

Huwa wanaume wanahangaika kutafuta wanawake wenye mjumuiko (package) wa chura, shape, sura, rangi na kazi nzuri wakidhani vitu hivi vitaongeza raha na furaha ktk ndoa zao.

Wengi wameishia kupata msongo wa mawazo tu baada ya kugundua kuwa vyote hivi ni ubatili mtupu ktk ndoa. Wametumia nguvu na gharama kubwa kuvipata lkn having faida

1. Tako kubwa, shape, sura na rangi nzuri havileti ugali mezani.
2. Mshahara mkubwa wa mwanamke kutoka kwenye kazi yake nzuri hauonekani unapoenda. Hachangii chochote. Zaidi sana ataanza kuanzisha ujenzi ama biashara zake kwa siri.

Oa darasa la saba ambaye atatawalika, atakuwa msikivu, unaweza kumtuma, atalea watoto wako muda wote na utamtumia kukuza kipato. Haya mabeijiing, masuperwoman, manaharakati, mazungumza kiingereza ni mabishi, majuaji huwa hayazai, na yakizaa ni mtoto mmoja tu. Kwasabb yashatoa mimba sana hadi kufikia huko vyuoni.

Halafu wana wapenzi wengi mno, waliosoma nao ktk ngazi zote za elimu. Kuchapiwa ni nje nje. Hakuna mwanamke mbeijing asiyechapwa.

Nimemaliza!
Hoja yako nzuri tu Ila umekuwa mkali.Anyway,nimezingatia.
 
Are you serious or? Yaani kweli kabisa kijana unatamani sura na tako la mke wako vikafanye kazi huko ili vikuletee ugali?
 
1. Chura, Sura vinaleta hamasa katika ngono.
2. Vinafurahisha kila mara ukimtazama Mkeo, hachoshi. Wewe kazi yako ni kumtunza tuu.
2. Akivaa nguo anapendeza na hiyo inakupa ufahari popote uendako na ukiwa naye. Iwe ni Kanisani, au matukio ya jumuiya Mkeo akiwa na Sura na shape nzuri Sifa zinakuja kwako kuwa pale mwamba umeweza.

3. Ukizaa Watoto hasa wakike unazaa Watoto walionyooka hasa wakifuata maumbile ya Mama Yao. Shape na Sura nzuri ni Mbegu nzuri Kwa kizazi chako hasa mabinti.
Faida itakuja pale Watoto wako hawatapata shida ndogondogo za kutafuta wachumba na watapata upendeleo Kwa baadhi ya mambo Kutokana na uzuri waliorithi Kwa mama Yao.

4. Ni sifa na ufahari kuwa na MKE mzuri.
Hata Ibrahim alipata hifadhi Kwa urahisi nchi za mbali Kwa Sababu ya uzuri WA Mkewe.
Ni rahisi ukiwa na MKE mzuri Kupata mkopo kupitia uzuri wake.
Mwanamke mzuri Maisha hayawe,I kumshinda.

5. Watoto watajivunia uzuri WA Mama Yao.

6. Kazi ya Mkeo itazidisha uimara wa familia. Hasa kama atakuwa anakupenda na unaakili za mwanaume.

7. Dunia yote Hii, nature inaagiza Watu waoe Wanawake Wazuri Sana. Nature ni rahisi kukusapoti kama utaweza kuoa mwanamke mzuri mwenye Sifa ulizozitaja.

Ni ndoto ya kila Mwanadamu kuoa mwanamke mwenye Sifa ulizozitaja hapo.
Mengine huja kama visingizio tuu.
Yote uliyoongea hayana ushawishi wa kutupilia mbani hoja ya mleta mada.
1) Umesema chura na sura vinaleta hamasa ktk ngono. Hapo uko sahihi 50% shida ni kuwa siku hizi hiyo ngono imekuwa hisani kwa Wanaume siyo wajibu wa mwanamke kumpa mumewe tendo la ndoa. Wapo watu wengi wenye wanawake wenye hizo sura mzuri na shape lakini ndani ya nyumba panawaka moto. Mke ndo anapanga siku za kuzagazuana. In short, wanawake wengi wanaojiona warembo wana majivuno na viburi sn.
2) Unasema hachoshi wewe ni kumtunza tu. Ni kuambie tu kuwa mke ukishamvua chupi tu thamani yake hushuka toka 100% hadi 0%. Mbaya zaidi ukikaa naye muda mrefu ndo anazidi kukuchosha. Mwanamke humvutia mwanaume siku ya kwanza tu, lakini baada ya kuzagazuana kinachofuata ni kutimiza tu wajibu wa neno upendo. Nikuhakikishie tu kuwa wanaume wengi wenye wanawake wenye sura mzuri, shape, na tako ndo wanaongoza kuchepuka. Hivyohivyo wanawake wa aina hiyo ni wachepukaji hodari. Hii ni sawa na kusema ngoma huwa droo.

Pia usioe mwanamke kwa lengo la kusifiwa na washikaji km unavyosema. Mke ni wa kwako huna haja ya kuoa mwanamke kwa lengo la kuwafurahisha washikaji. Kumbuka unachoona wewe kizuri kinaweza kuwa kibaya kwa mwenziyo.

3) Umesema ukiwa na mke mzuri ukizaa watoto wanapata haraka soko la kuolewa. Nikwambie tu kuwa Mungu kaumba kila mtu na wake. Hata huyo mtoto unaedhani ni mbaya akikua atapata bonge la handsome. Dr. Remy(mnyazimungu amrehemu) aliwahi kulalamika kutokuwa wa kwanza ktk mashindano ya watu wenye sura mbaya, lakini alioa mzungu tena mkali.
4) Unasema ni sifa na ufahari kuoa mke mzuri. Narudia tena mwanaume haoi ili kuwaringishia watu au kutafuta umaarufu. Hiyo mifano ya mitume ilishabaki historia maana hata sasa hakuna wanaume km huyo mtume Ibrahim uliyemsema. Na hakuna wanawake wenye sifa kwa sasa km mke aliyemuoa. Wakati mwingine tusiishi kwa hustoria, tuishi kwa uhalisia uliopo kwa sasa.

Umeweka kibwagizo kuwa ukiwa na mke mzuri unaweza kukopesheka kirahisi, ha ha ha ha ha, wapi huko. Kwani mwanamke ni asset?

5) Unasema watoto watajivunia uzuri wa mama yao. Niseme tu kuwa hilo ni wazo lako binafsi. Watoto hujivunia utajiri wa baba yao. Ndo maana enzi zetu tukiwa watoto huko kijijini tukigombana tu utaskia unamwambia mwenziyo "ndo maana baba yako hana baiskeli" ha ha ha ha ha, huwezi kusema ndo maana baba yako hana mke mzuri.
6) Unasema kazi ya mkeo italeta uimara wa familia. Nikuulize tu kuwa, vp umeoa mfanyakazi? Nikwambie tu % kubwa ya wanawake wenye kazi na walioolewa pesa zao huwa ni zao na za mwanaume huwa za wote. Ni wachache sn wanaotumia mishahara yao kuhudumia familia/kuanzisha miradi na mumewe. Hao ni 30% tu.

Na ujuwe mshahara au kipato cha mkeo siyo chako na huna haki nacho sababu unapooa huwa unajiandaa kukabiliana na majukumu ya familia, sasa wewe unataka mwanamke akusaidie majukumu. Kwani wewe ndo umemuoa au yeye ndo kakuoa? Timiza majukumu yako, usimtegemee mwanamke au msaada wa mwanamke.

7) Umesema nature ina kusapoti kuoa mke mzuri. Nikuambie tu kuwa muda mwingine nature inakupa tu muongozo wa kwenye fikra (project on paper) lakini ukija kwenye uhalisia nature hiyohiyo inakukimbia inakuachia majanga.

NB. Mleta mada ameweza kuweka uhalisia zaidi kuliko maoni na mihemko ya hisia. Kuoa ni kutimiza tu wajibu wa imani zetu na tamaduni zetu, lakini furaha utaikuta mbinguni, kamwe usitegemee kupewa furaha na mwanadam mwenziyo isipokuwa Mungu pekee.

Nimemaliza; Bandokitita.
 
Moja ya matarajio yasiyo na uhalisia ktk maisha ya ndoa ni kuwaza kuwa "kwenye ndoa kuna Raha na furaha". Kamwe hili halipo.

Huwa wanaume wanahangaika kutafuta wanawake wenye mjumuiko (package) wa chura, shape, sura, rangi na kazi nzuri wakidhani vitu hivi vitaongeza raha na furaha ktk ndoa zao.

Wengi wameishia kupata msongo wa mawazo tu baada ya kugundua kuwa vyote hivi ni ubatili mtupu ktk ndoa. Wametumia nguvu na gharama kubwa kuvipata lkn having faida

1. Tako kubwa, shape, sura na rangi nzuri havileti ugali mezani.
2. Mshahara mkubwa wa mwanamke kutoka kwenye kazi yake nzuri hauonekani unapoenda. Hachangii chochote. Zaidi sana ataanza kuanzisha ujenzi ama biashara zake kwa siri.

Oa darasa la saba ambaye atatawalika, atakuwa msikivu, unaweza kumtuma, atalea watoto wako muda wote na utamtumia kukuza kipato. Haya mabeijiing, masuperwoman, manaharakati, mazungumza kiingereza ni mabishi, majuaji huwa hayazai, na yakizaa ni mtoto mmoja tu. Kwasabb yashatoa mimba sana hadi kufikia huko vyuoni.

Halafu wana wapenzi wengi mno, waliosoma nao ktk ngazi zote za elimu. Kuchapiwa ni nje nje. Hakuna mwanamke mbeijing asiyechapwa.

Nimemaliza!

Wametuzalia watoto wazuri,wenye sura na miili mizuri, mleta mada tafuta hela ukule kile kitu roho inapenda.
 
1. Chura, Sura vinaleta hamasa katika ngono.
2. Vinafurahisha kila mara ukimtazama Mkeo, hachoshi. Wewe kazi yako ni kumtunza tuu.
2. Akivaa nguo anapendeza na hiyo inakupa ufahari popote uendako na ukiwa naye. Iwe ni Kanisani, au matukio ya jumuiya Mkeo akiwa na Sura na shape nzuri Sifa zinakuja kwako kuwa pale mwamba umeweza.

3. Ukizaa Watoto hasa wakike unazaa Watoto walionyooka hasa wakifuata maumbile ya Mama Yao. Shape na Sura nzuri ni Mbegu nzuri Kwa kizazi chako hasa mabinti.
Faida itakuja pale Watoto wako hawatapata shida ndogondogo za kutafuta wachumba na watapata upendeleo Kwa baadhi ya mambo Kutokana na uzuri waliorithi Kwa mama Yao.

4. Ni sifa na ufahari kuwa na MKE mzuri.
Hata Ibrahim alipata hifadhi Kwa urahisi nchi za mbali Kwa Sababu ya uzuri WA Mkewe.
Ni rahisi ukiwa na MKE mzuri Kupata mkopo kupitia uzuri wake.
Mwanamke mzuri Maisha hayawe,I kumshinda.

5. Watoto watajivunia uzuri WA Mama Yao.

6. Kazi ya Mkeo itazidisha uimara wa familia. Hasa kama atakuwa anakupenda na unaakili za mwanaume.

7. Dunia yote Hii, nature inaagiza Watu waoe Wanawake Wazuri Sana. Nature ni rahisi kukusapoti kama utaweza kuoa mwanamke mzuri mwenye Sifa ulizozitaja.

Ni ndoto ya kila Mwanadamu kuoa mwanamke mwenye Sifa ulizozitaja hapo.
Mengine huja kama visingizio tuu.

Hakika
 
Inaweza kuwa sahihi mkuu, Kuna mmoja nimekuwa nae kwenye mahusiano Kama miezi miwili hivi, ni Kama ana sifa zote ulizotaja hapo juu kwa. Nilifanikiwa kujua mshahara wake kupitia udhaifu wake. Yupo vizuri Sana kwa maisha ya kawaida ya sisi watanzania wa kawaida.

Kilichonishangaza anapiga hesabu za Mimi kubeba majukumu yake yote as if nimemuoa, nisaidie ndugu zake nk. Nikawa nacheka kimoyomoyo. Nimepiga chini usiku wa Jana.
 
Kikubwa ni tabia ya mwanamke na je anakuheshimu

Mwanamke akiwa na sifa zote hizo nzuri, elimu na kazi yenye mshahara mzuri ila ndani ana heshima, nyumba ina amani na tabia nzuri sioni shida hata kidogo

Kwenye kuoa oa mwanamke anayekuvutia uumfurahie. Mke ni zaidi ya tabia njema tu
 
Back
Top Bottom