Chura, shape, sura na kazi nzuri ya mkeo vimekusaidia nini katika maisha?

Yote uliyoongea hayana ushawishi wa kutupilia mbani hoja ya mleta mada.
1) Umesema chura na sura vinaleta hamasa ktk ngono. Hapo uko sahihi 50% shida ni kuwa siku hizi hiyo ngono imekuwa hisani kwa Wanaume siyo wajibu wa mwanamke kumpa mumewe tendo la ndoa. Wapo watu wengi wenye wanawake wenye hizo sura mzuri na shape lakini ndani ya nyumba panawaka moto. Mke ndo anapanga siku za kuzagazuana. In short, wanawake wengi wanaojiona warembo wana majivuno na viburi sn.
2) Unasema hachoshi wewe ni kumtunza tu. Ni kuambie tu kuwa mke ukishamvua chupi tu thamani yake hushuka toka 100% hadi 0%. Mbaya zaidi ukikaa naye muda mrefu ndo anazidi kukuchosha. Mwanamke humvutia mwanaume siku ya kwanza tu, lakini baada ya kuzagazuana kinachofuata ni kutimiza tu wajibu wa neno upendo. Nikuhakikishie tu kuwa wanaume wengi wenye wanawake wenye sura mzuri, shape, na tako ndo wanaongoza kuchepuka. Hivyohivyo wanawake wa aina hiyo ni wachepukaji hodari. Hii ni sawa na kusema ngoma huwa droo.

Pia usioe mwanamke kwa lengo la kusifiwa na washikaji km unavyosema. Mke ni wa kwako huna haja ya kuoa mwanamke kwa lengo la kuwafurahisha washikaji. Kumbuka unachoona wewe kizuri kinaweza kuwa kibaya kwa mwenziyo.

3) Umesema ukiwa na mke mzuri ukizaa watoto wanapata haraka soko la kuolewa. Nikwambie tu kuwa Mungu kaumba kila mtu na wake. Hata huyo mtoto unaedhani ni mbaya akikua atapata bonge la handsome. Dr. Remy(mnyazimungu amrehemu) aliwahi kulalamika kutokuwa wa kwanza ktk mashindano ya watu wenye sura mbaya, lakini alioa mzungu tena mkali.
4) Unasema ni sifa na ufahari kuoa mke mzuri. Narudia tena mwanaume haoi ili kuwaringishia watu au kutafuta umaarufu. Hiyo mifano ya mitume ilishabaki historia maana hata sasa hakuna wanaume km huyo mtume Ibrahim uliyemsema. Na hakuna wanawake wenye sifa kwa sasa km mke aliyemuoa. Wakati mwingine tusiishi kwa hustoria, tuishi kwa uhalisia uliopo kwa sasa.

Umeweka kibwagizo kuwa ukiwa na mke mzuri unaweza kukopesheka kirahisi, ha ha ha ha ha, wapi huko. Kwani mwanamke ni asset?

5) Unasema watoto watajivunia uzuri wa mama yao. Niseme tu kuwa hilo ni wazo lako binafsi. Watoto hujivunia utajiri wa baba yao. Ndo maana enzi zetu tukiwa watoto huko kijijini tukigombana tu utaskia unamwambia mwenziyo "ndo maana baba yako hana baiskeli" ha ha ha ha ha, huwezi kusema ndo maana baba yako hana mke mzuri.
6) Unasema kazi ya mkeo italeta uimara wa familia. Nikuulize tu kuwa, vp umeoa mfanyakazi? Nikwambie tu % kubwa ya wanawake wenye kazi na walioolewa pesa zao huwa ni zao na za mwanaume huwa za wote. Ni wachache sn wanaotumia mishahara yao kuhudumia familia/kuanzisha miradi na mumewe. Hao ni 30% tu.

Na ujuwe mshahara au kipato cha mkeo siyo chako na huna haki nacho sababu unapooa huwa unajiandaa kukabiliana na majukumu ya familia, sasa wewe unataka mwanamke akusaidie majukumu. Kwani wewe ndo umemuoa au yeye ndo kakuoa? Timiza majukumu yako, usimtegemee mwanamke au msaada wa mwanamke.

7) Umesema nature ina kusapoti kuoa mke mzuri. Nikuambie tu kuwa muda mwingine nature inakupa tu muongozo wa kwenye fikra (project on paper) lakini ukija kwenye uhalisia nature hiyohiyo inakukimbia inakuachia majanga.

NB. Mleta mada ameweza kuweka uhalisia zaidi kuliko maoni na mihemko ya hisia. Kuoa ni kutimiza tu wajibu wa imani zetu na tamaduni zetu, lakini furaha utaikuta mbinguni, kamwe usitegemee kupewa furaha na mwanadam mwenziyo isipokuwa Mungu pekee.

Nimemaliza; Bandokitita.

Uhalisia ni kutafuta MKE mzuri, wa maumbile na kitabia.

Hayo maelezo mengine hayana maana yoyote na hutolewa na watu waliokata tamaa au waliokosa Wanawake Wazuri wa kuwaoa au wakuwa nao.

Hata Kwa wakulima huchukua Mbegu Bora kwaajili ya Kilimo.
Wafugaji halikadhalika.

Kwenye Ndoa pia Watu hutafuta sio tuu mapenzi Bali ni pamoja na ufahari,Mbegu Bora n.k.

Biblia na Quran zote zinatoa muongozo huohuo.

Hata kwenye Mila na desturi vivyohivyo. Hakuna mahali popote na viumbe wowote ambao hawataki Mwanamke mzuri. Hiyo haipo.

Na Kwa kukusaidia tuu Sifa ya Kwanza ya Mwanamke ni Uzuri, ukishasema Mwanamke hapo unazungumzia uzuri hasa uzuri WA maumbile. Sura nzuri, ngozi laini, umbo lenye mvuto, na Sauti tamu huyo ndio Mwanamke.

Maelezo mengine ni kujifariji
 
Umepiga kwenye mshono jomba,, binafsi mwanamke ambae anajifanya anaexposure ya mambo siwezi kuoa abadani. M/mungu kamuumba Mwanaume awe mtawala, sasa wanawake hawa wa mashule shule ptuuu.
Mtoto wako wa kike ataishia la saba? Tuanzie hapo kwanza
 
Moja ya matarajio yasiyo na uhalisia ktk maisha ya ndoa ni kuwaza kuwa "kwenye ndoa kuna Raha na furaha". Kamwe hili halipo.

Huwa wanaume wanahangaika kutafuta wanawake wenye mjumuiko (package) wa chura, shape, sura, rangi na kazi nzuri wakidhani vitu hivi vitaongeza raha na furaha ktk ndoa zao.

Wengi wameishia kupata msongo wa mawazo tu baada ya kugundua kuwa vyote hivi ni ubatili mtupu ktk ndoa. Wametumia nguvu na gharama kubwa kuvipata lkn having faida

1. Tako kubwa, shape, sura na rangi nzuri havileti ugali mezani.
2. Mshahara mkubwa wa mwanamke kutoka kwenye kazi yake nzuri hauonekani unapoenda. Hachangii chochote. Zaidi sana ataanza kuanzisha ujenzi ama biashara zake kwa siri.

Oa darasa la saba ambaye atatawalika, atakuwa msikivu, unaweza kumtuma, atalea watoto wako muda wote na utamtumia kukuza kipato. Haya mabeijiing, masuperwoman, manaharakati, mazungumza kiingereza ni mabishi, majuaji huwa hayazai, na yakizaa ni mtoto mmoja tu. Kwasabb yashatoa mimba sana hadi kufikia huko vyuoni.

Halafu wana wapenzi wengi mno, waliosoma nao ktk ngazi zote za elimu. Kuchapiwa ni nje nje. Hakuna mwanamke mbeijing asiyechapwa.

Nimemaliza!
Mkuu kunywa maji kwanza utulize hasira
 
Umetema gold tupu mzee, uishi milele
 
Uhalisia ni kutafuta MKE mzuri, wa maumbile na kitabia.

Hayo maelezo mengine hayana maana yoyote na hutolewa na watu waliokata tamaa au waliokosa Wanawake Wazuri wa kuwaoa au wakuwa nao.

Hata Kwa wakulima huchukua Mbegu Bora kwaajili ya Kilimo.
Wafugaji halikadhalika.

Kwenye Ndoa pia Watu hutafuta sio tuu mapenzi Bali ni pamoja na ufahari,Mbegu Bora n.k.

Biblia na Quran zote zinatoa muongozo huohuo.

Hata kwenye Mila na desturi vivyohivyo. Hakuna mahali popote na viumbe wowote ambao hawataki Mwanamke mzuri. Hiyo haipo.

Na Kwa kukusaidia tuu Sifa ya Kwanza ya Mwanamke ni Uzuri, ukishasema Mwanamke hapo unazungumzia uzuri hasa uzuri WA maumbile. Sura nzuri, ngozi laini, umbo lenye mvuto, na Sauti tamu huyo ndio Mwanamke.

Maelezo mengine ni kujifariji
Okay, mke mzuri ni yupi. Anyway huwezi ilazimisha nafsi.
 
Moja ya matarajio yasiyo na uhalisia ktk maisha ya ndoa ni kuwaza kuwa "kwenye ndoa kuna Raha na furaha". Kamwe hili halipo.

Huwa wanaume wanahangaika kutafuta wanawake wenye mjumuiko (package) wa chura, shape, sura, rangi na kazi nzuri wakidhani vitu hivi vitaongeza raha na furaha ktk ndoa zao.

Wengi wameishia kupata msongo wa mawazo tu baada ya kugundua kuwa vyote hivi ni ubatili mtupu ktk ndoa. Wametumia nguvu na gharama kubwa kuvipata lkn having faida

1. Tako kubwa, shape, sura na rangi nzuri havileti ugali mezani.
2. Mshahara mkubwa wa mwanamke kutoka kwenye kazi yake nzuri hauonekani unapoenda. Hachangii chochote. Zaidi sana ataanza kuanzisha ujenzi ama biashara zake kwa siri.

Oa darasa la saba ambaye atatawalika, atakuwa msikivu, unaweza kumtuma, atalea watoto wako muda wote na utamtumia kukuza kipato. Haya mabeijiing, masuperwoman, manaharakati, mazungumza kiingereza ni mabishi, majuaji huwa hayazai, na yakizaa ni mtoto mmoja tu. Kwasabb yashatoa mimba sana hadi kufikia huko vyuoni.

Halafu wana wapenzi wengi mno, waliosoma nao ktk ngazi zote za elimu. Kuchapiwa ni nje nje. Hakuna mwanamke mbeijing asiyechapwa.

Nimemaliza!
Ni hatari.
 
Furaha ya nafsi
 
Back
Top Bottom