CIA akiri kumuua Bob Marley akiwa hoi kitandani

CIA akiri kumuua Bob Marley akiwa hoi kitandani

At the end of the day, a dude is now talking from a deathbed. This is definitely a lesson to those 'unknown' dogs who act as if they are Gods. Karma is a fucking Bitch! If you kill by panga, you will be killed by a panga too. Na ukimtaabisha mwenzio kitandani nawe utaishia kutaabika kitandani.

NB: Sijui kutema yai msioelewa mnisamehe, najifunza hapa nipo field. Jino kwa jino.
Heheh upo vzuri brother
 
The point is Everyone dies,,and these CIAs are the one who killed the scientist who prove the fake ideas about HIV
 
Hivi yuke KARMA hivi hana address ya Marekani? Mbona wametenda uovu mwingu sana duniani na wanaendelea kupeta?? Karma where are you to America her plate?
 
Hivi admin wa hili jukwaa ni nani? Hivi watu huwa wanafanya research hata kidogo kupata ukweli wa habari? Ni jambo la aibu sana katika zama hizi za maendeleo ya sayansi na teknolojia. Huyo anayeonekana kwenye picha siyo Bill Oxley, huyo mzee ni model wa Poland yuko kwenye mapicha kibao tu. Admin, this is FAKE news, futilia mbali.
 

Rasta don't work for no CIA

Kipindi nipo mdogo hicho kipande nilikuwa naskia "Rasta kaungua mkono si yeye"[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Alimmalizia hosipitali au yeye ndio alimpandikizia kansa?
 
Nakuona mkuu unatoa sitresi mpaka huku[emoji16] [emoji16] [emoji125]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Hivi yuke KARMA hivi hana address ya Marekani? Mbona wametenda uovu mwingu sana duniani na wanaendelea kupeta?? Karma where are you to America her plate?
address yake ipo Pyongyang...na ameanza kugusa kidonda
 
Since childhood yrs I was just told Bob Marley died of cancer on his right leg at 36 age, i never knew if it was a caused cancer, never knew that the man had his life cut short by Americans, May God have mercy on you (Marley)., according to Mr Oxley CIA kills whoever seems to represent a threat over goals of the agency, I'm now starting to believe the claims that America is Satanic and it's the one that boost terroristic activities across the world....RIP Marley (freedom fighter)
Wote waliokuwa na harakati zinazokinzana na kutishia malengo na maslahi ya CIA na marekani walikwenda na maji,vitendo hivi vinafanywa na watawala wowote duniani,hii dunia sio fair kwenye nguvu ndio wameshika hatamu,,pona nataka TL
 
Alikuwa kazini na uzuri sababu kazitoa tena za msingi,hats wale wa biblia mnaelewa kuwa Suleiman aligizwa aue so alikuwa anatimiza wajibu wake kwamba sicrifice lazima ifanyike ili mambo mengine yaendelee kuwepo kama yalivyo Leo bila kujalisha anayetoa tafsiri
The only heartless person l know in this world is this in bed,what is he suffering from?Does he think by confessing he has removed all the pain and sorrows he caused to Bob marleys family?Now he is in bed,can the CIA make him young and healthy with another virus?Confession wont help him it will take him to death.The wages of sin is Death but the way of god is living forever.Bob marley is still living in our minds,so he is still alive,what will this man be remembered for?for killing people?
 
kuna mijitu bado inapelekwa kama kondoo na kauli za marekani including kibaraka wao mange kimambi open up your eyes these men stands for their benefits allways
 
Yan hii serikali ya Marekani nahis ndio serikali inayoongoza kwa kuua watu duniani
 
How long shall you kill our prophets while we stand aside and look? Redemption songs
 
Back
Top Bottom