Fantasia
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 1,071
- 832
Mmarekani kakimbilia urusi kujisitiri asiuliweHIVI SNOWDEN NI MMAREKANI AU MRUSI?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmarekani kakimbilia urusi kujisitiri asiuliweHIVI SNOWDEN NI MMAREKANI AU MRUSI?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Albadiri on work
Na wewe unaamini kabisa 100% hivyo vyombo vyote vinasema ukweli daima?
Bahati unayo pointi kubwaHapana, na hakuna niliposema kikiandikwa na NYTimes basi cha ukweli.
Nimesema, habari kama hii haiwezi kupitwa na vyombo kama hivyo, hata kama wangeandika uongo ndani, lakini wasingeikosa wote. Gazeti kama NYTimes linajiheshimu kama "paper of record," linahifadhi rekodi za dunia yao, lazima wamepiga simu public relations CIA au kwa wastaafu wanaowapa michongo iliyokuwa declassified. E bana hii kitu vipi, mnamjua huyu babu? Aah huyo ndio lakini bangi tu mwongo anajifia taratibu mwacheni. Au kama story ni kweli is it declassified? No, okay kwa nini hajawa arrested kwa kutoa siri za nchi? Oh, yes, it is declassified anaweza kuongea. Okay tupeni mchongo wote.
Ukikataa kutoa mchongo wana file kitu kinaitwa Freedom of Information petition, lazima utoe, wanachukua habari wanarusha na wanaenda kuandika vitabu vya CIA wanapiga hela.
Hip hop.com na Black Pepper.com hawana vyanzo vya habari ndani ya CIA vya ku verify bombshell kama hili, wanabugia chochote kama dodoki.
You know the types, NIPASHE, ITV, TBC, AZAM, MWANANCHI... Ukiwaita ukawaambia jamani naumwa sana sina msaada nakufa, mimi ndio nilichora bendera ya Taifa nimetelekezwa, kesho yake wooote watamiminika kuja ku sympathasize na kulaumiana, hakuna anaejua nani ali design bendera wala nembo ya Taifa wala mwimbo wa Taifa. Au kama ni kweli alichora alichora kwa mpango gani. Hakuna. Ndio HIP HOP.COM na BLACK PEPPER.COM, third worldish press.
Albadiri¿??????????[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbuka yako magonjwa halisi na magonjwa ya kutengenezwa chungu mzima ikiwa ni pamoja na huu ukimwi wetu....Tena Kuna fununu alikuwa specialist wa kiyahudi alifanya hivi.....economic warfare ku control population na uchumi na kudumaza mabara ya weusiEti kwamba??
ndo hivyoo mkuu..survival fo the fittest!!Dunia haina usawa...
Wenye nguvu ndiyo watawala...
Sokoine nao walinena????? Labda sio nchi hiiHakika naamini hata waliotaka kuumua Mh. Tundu Lissu, ipo siku watakuja kunena haya wazi na kujulikana.
Hayo ya sokoine mbona yalisemwa...na yanafahamikaSokoine nao walinena????? Labda sio nchi hii
New world order ndio mfumo unaotumika kuingoza dunia Sasa...kivuli nyuma ya globalization..mmomonyoko mkubwa wa maadili... corrupted politics.....ukiwa engineered na wayahudi wanaoitawala itawala Ulaya sisi wengine twafwata upepo tuMimi naomba mnieleweshe hapo pa "New World Order"
Na naniHayo ya sokoine mbona yalisemwa...na yanafahamika
Je wewe umgeni Jerusalem na hauyajui mambo yalotokea? Kweli Kaka? Au kusanifiana? Mtoto wa sokoine yuko wapi yuleee...alipewa ubalozi vile..ama sio?Na nani
Ukweli mchungu huu ndugu, Sena watu kwa kukosa uadilifu na kuegemea kwenye hisia sana ndio maana hawataki kukubali mambo kama haya!Ukweli uliowazi USA anafanya ugaidi mwingi sana ili kulinda maslahi yao ya kikoloni kila kona ya dunia iwe kwa wanaharakati ama watawala,kkibaya kwao ni kupinga mambo yao na vibaraka wao!!
Rejea vifo vya Castro wa Cuba,Hugo Chavez ambae kabla ya mauti alisema wazi wazi USA wamemwekea cancer!! JF Kenedy raisi wao mwenyewe walimnywa damu!!
Cha kufurahisha kuna watu wanaamini magaidi ni waarabu na Marekani ndio Taifa takatifu!!
Pole sanaDah hadi chozi limenitoka