popbwinyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,986
- 3,615
Na waarabu waliowabaka waafrika enzi za utumwa,wakawaasi na kuwalawiti,nao vipi chuki yako na waarabu iliishaje?Damn,Ndiyo maana chuki zangu na U.S.A haziwezi kwisha.Let Bob Rest in peace.
Au dini moja imesawazisha,
Kuna kitu nadhani haukijui,
Tawala zoote za kidunia ni za kishetani,maana zinaua na kutesa wasio wa mlengo wao ili kujilinda,narudia tena serikali zoote hata hii ya nanii za kishetani maana zinamwaga damu ya wasiohatia kujilinda
Sasa ukutaka kuwa sawa chukia serikali zooooote