Dr Ntinkutina.
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 309
- 55
Hao ni doctor of medicine and vertenary doctor ndio maana wanawatambua!! Hivi unajua kuwa hata barack obama ni phd holder but ulishasikia wanamuita dr obama????
Afadhali umeweka alama ya kuuliza maana, wanajeshi(makamanda) walikataa kumpa kamisheni (yaani uafisa) kwa sababu hakukidhi masharti ya uafisa na hafai kuwa ofisa wa jeshi kwa sababu za fitina na unafiki kwa wenzie (kama mwanamke vile?).Kikwete pia ni Luteni Kanali mstaafu, mbona hujaandika kwamba hilo nalo hawalitambui?
Mbona hushangai Mwenyewe Obama ni holder wa Doctorate lakini mbona hujauliza kwanini hawaanzi na kiimbo cha Dr.? Au ndio kunya anye kuku akinya bata kaharisha?
Hata hivyo mkuu ulikuwa na bahati, wapenda sifa wa kibongo wanaweza kukununia hata mwaka mzima.Ni kweli Obama na mkewe wana doctorates (LLD) za sheria kutoka Yale Law school. Lakini hawajikwezi nazo. Huku bongo mtu akiwa na Advanced diploma kutoka Mbeya Referral Hospital usipomuita "dokta" anaweza kukununia kutwa nzima! Kuna mmoja nilikosea nikamtaja kama "Mr" mahali tulipokuwa naye kwenye kikao cha harusi, alitumia karibu dakika 10 kunisahihisha!
Ni kweli Obama na mkewe wana doctorates (LLD) za sheria kutoka Yale Law school. Lakini hawajikwezi nazo. Huku bongo mtu akiwa na Advanced diploma kutoka Mbeya Referral Hospital usipomuita "dokta" anaweza kukununia kutwa nzima! Kuna mmoja nilikosea nikamtaja kama "Mr" mahali tulipokuwa naye kwenye kikao cha harusi, alitumia karibu dakika 10 kunisahihisha!
Afadhali umeweka alama ya kuuliza maana, wanajeshi(makamanda) walikataa kumpa kamisheni (yaani uafisa) kwa sababu hakukidhi masharti ya uafisa na hafai kuwa ofisa wa jeshi kwa sababu za fitina na unafiki kwa wenzie (kama mwanamke vile?).
Una maanisha hata wakati wa Mtukufu mwenyeheri uchakachuaji ulikuwepo? Imebaki kuhoji jina kama kweli huyu tunaemuona na kumjua ndio mtoto hasa wa Chifu wa W.ak.were chif mrisho kikwete?
Obama na mkewe wana LLD kutoka Yale? Una uhakika?
Nani kasema JK amewahi kuwa mwanafunzi Monduli?
Waulize wakuu wa majeshi amepata fast tracking kwa faida ya nani. Waulize CCM mfumo mzima wa "chama kushika hatamu" ulikuwa kwa faida ya nani.
Watanzania wamemchagua JK kwa wingi, kwa sababu wengi wetu hatuna utaratibu wa kuhoji, na si tu wengi hatujahoji kupandishana vyeo bila merit, mimi sijawahi kusikia a convinving case for Kikwetes achievements prior to becoming a candidate.
Hivi Kikwete alikuwa na merit gani ya kusema anaweza kuwa rais wa nchi maskini kama Tanzania?
Badala ya kuhoji kwa nini sisi kama jamii hatujahoji JK kukosa merit kabla, na kwa nini tumemchagua licha ya kukosa merit, na kuhoji mfumo mzima wa watu kupanda ngazi bila merit (rais wa pili Ally Hassan Mwinyi alishawahi kujiuzulu Uwaziri wa Mambo ya ndani kwa uzembe kimsingi, akaweza kurudi na kuwa rais hatujaliona hili kama tatizo)
Matatizo yetu hayajaanza na wala hayaishi kwa JK.
Kama tunatafuta suluhisho, tuulize maswali yenye kina cha zaidi ya JK.
Kama vile, ilikuwaje mtu aliyejiuzulu kwa uzembe kama Ally Hassan Mwinyi aweze kupewa nafasi ya kugombea urais? Tena chini ya uangalizi wa kipanga wenu JK Nyerere?
Ukiangalia maswali kama haya utaona huu upuuzi wa kupandishana tu kwa sababu "huyu mwenzetu", hata kama mtu kajiuzulu kwa uzembe, ulianza kabla Kikwete hata hajaingia serikalini.
Kwa hiyo ku focus kwa Kikwete kunaweza kuwa sawa kwa sababu yeye ni rais na yuko visible sana, lakini kuna matatizo yaliyo katika jamii nzima yaliyoanza kabla ya Kikwete na yenye kina kirefu kumshinda Kikwete.
Kikwete si sababu ya matatizo yetu.
Kikwete ni matokeo ya matatizo yetu.
Ukitaka kutatua tatizo kuangalia matokeo ni muhimu, lakini kuangalia sababu ni muhimu zaidi.
Udaktar wa falsafa kwa wenzetu ni kitu cha kawaida sana, wala hutasikia wakiji-boast kujiita Dr. Fulani. Kwa mfano, waziri wa zamani wa mambo ya nje Marekani Condolezza Rice ni dokta, lakini hata siku moja hutasikia hiyo kitu. Ni mtazamo tu
Hivi mnajua kuwa karibu maaskofu wote wa kanisa katoliki wana doctorates km JCD (Juris Canonici Doctor kama ile ya Slaa), DD (Doctor of Divinity), STD (Sacrae Theologiae Doctor), PhD na nyinginezo. Lakini hata siku moja hawatajwi kama madokta. Ni suala la unyenyekevu tu. Na hata Dr Slaa aliukumbuka "udokta" wake baada ya kuacha upadri, lakini sasa sina uhakika kama ataridhika tukimtaja tu kama "Bwana Slaa". Kumbe, nadhani, waswahili tunapenda kukwezwa. Natazama jinsi wahandisi wa bongo wanavyolazimisha majina yao yatanguliwe na neno Eng. Sijaona mahali pengine. Kwa hiyo hili la honorary doctorates za JK ni reflection ya jinsi sisi wabongo tulivyo, linawakilisha vizuri tabia ya wabongo.
Hivi mnajua kuwa karibu maaskofu wote wa kanisa katoliki wana doctorates km JCD (Juris Canonici Doctor kama ile ya Slaa), DD (Doctor of Divinity), STD (Sacrae Theologiae Doctor), PhD na nyinginezo. Lakini hata siku moja hawatajwi kama madokta. Ni suala la unyenyekevu tu. Na hata Dr Slaa aliukumbuka "udokta" wake baada ya kuacha upadri, lakini sasa sina uhakika kama ataridhika tukimtaja tu kama "Bwana Slaa". Kumbe, nadhani, waswahili tunapenda kukwezwa. Natazama jinsi wahandisi wa bongo wanavyolazimisha majina yao yatanguliwe na neno Eng. Sijaona mahali pengine. Kwa hiyo hili la honorary doctorates za JK ni reflection ya jinsi sisi wabongo tulivyo, linawakilisha vizuri tabia ya wabongo.
Nakuelewa sana ndugu.Hivi mnajua kuwa karibu maaskofu wote wa kanisa katoliki wana doctorates km JCD (Juris Canonici Doctor kama ile ya Slaa), DD (Doctor of Divinity), STD (Sacrae Theologiae Doctor), PhD na nyinginezo. Lakini hata siku moja hawatajwi kama madokta. Ni suala la unyenyekevu tu. Na hata Dr Slaa aliukumbuka "udokta" wake baada ya kuacha upadri, lakini sasa sina uhakika kama ataridhika tukimtaja tu kama "Bwana Slaa". Kumbe, nadhani, waswahili tunapenda kukwezwa. Natazama jinsi wahandisi wa bongo wanavyolazimisha majina yao yatanguliwe na neno Eng. Sijaona mahali pengine. Kwa hiyo hili la honorary doctorates za JK ni reflection ya jinsi sisi wabongo tulivyo, linawakilisha vizuri tabia ya wabongo.
Mbona hushangai Mwenyewe Obama ni holder wa Doctorate lakini mbona hujauliza kwanini hawaanzi na kiimbo cha Dr.? Au ndio kunya anye kuku akinya bata kaharisha?