CIA haimtambui Kikwete kama ni DR? Inatambua DRs watatu tuu katika Serikali ya JK!

CIA haimtambui Kikwete kama ni DR? Inatambua DRs watatu tuu katika Serikali ya JK!

Dr Hussein Mwinyi naye kahitimu kutoka Feza University huko Uturuki,hah hah nchi hii haishi vituko
 
Acha ushamba wewe ... CIA ndio nini ? fikra za kitumwa hizo lazima watambue elimu ya kila mtu! weye wanakutambua kama nani..? watu wengine bana zero
 
Nimetembelea website ya CIA na ku'search Tanzania Government.

Nimeshangazwa na CIA kutomtambua JK na baadhi ya mawaziri wake kama ni madokta.

Badala yake inawatambua madokta watatu tuu tena wote ni kutoka Zanzibar.

Hii inamaanisha nini?

CIA hawajui kama JK na baadhi ya mawaziri wake kama Marry Nagu, Nchimbi, Mwakyembe nk ni Dr's?

au inamaanisha CIA wanaujua udokta wa kuchakachua wa viongozi hawa?

--------------------------------------------------

Tanzania

Chiefs of State and Cabinet Members of Foreign Governments
Date of Information: 9/24/2012
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]Pres.[/TD]
[TD]Jakaya Mrisho KIKWETE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Vice Pres.[/TD]
[TD]Mohamed Gharib BILAL, Dr.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Prime Min.[/TD]
[TD]Mizengo Kayanza Peter PINDA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Pres. of Zanzibar[/TD]
[TD]Ali Mohamed SHEIN, Dr.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Agriculture, Food Security, & Cooperatives[/TD]
[TD]Christopher Kajoro CHIZA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Communication, Science, & Technology[/TD]
[TD]Makame Mnyaa MBARAWA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Community Development, Gender, & Children[/TD]
[TD]Sofia Mattayo SIMBA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Defense & National Service[/TD]
[TD]Shamsi Vuai NAHODHA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for East Africa Cooperation Affairs[/TD]
[TD]Samwel John SITTA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Education & Vocational Training[/TD]
[TD]Shukuru Jumanne KAWAMBWA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Energy & Mineral Resources[/TD]
[TD]Sospeter MUHONGO[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Finance & Economic Affairs[/TD]
[TD]William Augustao MGIMWA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Foreign Affairs & Intl. Cooperation[/TD]
[TD]Bernard Kamillius MEMBE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Health & Social Welfare[/TD]
[TD]Hussein Ali MWINYI, Dr.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Home Affairs[/TD]
[TD]Emmanuel John NCHIMBI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Industry, Trade, & Marketing[/TD]
[TD]Abdallah Omar KIGODA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Information, Youth, Culture, & Sports[/TD]
[TD]Fenella Ephraim MUKANGARA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Justice & Constitutional Affairs[/TD]
[TD]Mathias Meinrad CHIKAWE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Labor & Employment[/TD]
[TD]Gaudentia Mugosi KABAKA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Lands & Human Settlements Development[/TD]
[TD]Anna Kajumulo TIBAIJUKA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Livestock & Fisheries[/TD]
[TD]David Mathayo DAVID[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Natural Resources & Tourism[/TD]
[TD]Khamis Juma Suedi KAGASHEKI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Transport[/TD]
[TD]Harrison George MWAKYEMBE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Water[/TD]
[TD]Jumanne Abdallah MAGHEMBE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Works[/TD]
[TD]John Pombe Joseph MAGUFULI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. Without Portfolio[/TD]
[TD]Mark James MWANDOSYA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. of State for Good Governance, President's Office[/TD]
[TD]George Huruma MKUCHIKA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. of State for Public Service Management, President's Office[/TD]
[TD]Celina Ompeshi KOMBANI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. of State for Social Relations & Coordination, President's Office[/TD]
[TD]Stephen Masatu WASIRA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. of State for Environment, Vice President's Office[/TD]
[TD]Terezya Pius Luoga HOVISA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. of State for Union Affairs, Vice President's Office[/TD]
[TD]Samia Hassan SULUHU[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. of State for Investment & Empowerment, Prime Minister's Office[/TD]
[TD]Mary Michael NAGU[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. of State for Policy, Coordination, & Parliamentary Affairs, Prime Minister's Office[/TD]
[TD]William Vangimembe LUKUVI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. of State for Regional Admin. & Local Govt., Prime Minister's Office[/TD]
[TD]Hawa Abdulrahman GHASIA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Attorney Gen.[/TD]
[TD]Frederick WEREMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Governor, Central Bank[/TD]
[TD]Benno NDULU[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ambassador to the US[/TD]
[TD]Mwanaidi Sinare MAAJAR[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Permanent Representative to the UN, New York[/TD]
[TD]Tuvako Nathaniel MANONGI [/TD]
[/TR]
[/TABLE]




Source: https://www.cia.gov/library/publications/world-leaders-1/world-leaders-t/tanzania.html

Hoja yako ni inanifanya nifikili zaidi! wapo kweli wenye Phd za ukweli ila sema ccm inawafanya waonekane kama hawana kitu kwakuwa hawaongozwi na utashi wao yaani hakuna kufikili nikufuata sera za chama basi! so kama chama kinatetea mafisadi basi na wewe ukiwa huko inabidi uwe hivyo! ndiyo maana una wasiwasi na PhD hata za ukweli.Ukiangalia tunavyo ibiwa mali asili huwezi amini kama tunaongozwa na watu walio soma,ukiangalia Bunge akina makinda na Naibu speaker unashangaa kabisa kama hawa watu wasomi kweli hawa! au wamelewa nini?

Ndiyo maana wanachi wanatoa conclusion kwamba huenda elimu zao ni za kufoji!
 
ni kweli tunapenda ujiko kuna jamaa yangu alikuja likizo toka US kumpigia simu jamaa yake mwingine akamwambia unaongea na doctor ikabidi amkatie simu akasema kwani mimi mgonjwa kule na marafiki ni madaktari wanafanya transplanting ya moyo lakini hawana majivuno ndio ikawa mwanzo na mwisho kuwasiliana naye ndio maana wanasiasa wanaoongoza kwa kufoji na kununua vyeti Dr Lwakatare
 
sorry,hivi mnaonaje,mkatafuta mambo ya kufanya,maana sasa tumewachoka,mnamuongelea Kikwete,sijui kama mnawakumbuka hata wazazi wenu na elimu zao.
 
na ndio mana yule anaitwa Obama na huyu ni Kikwete,means hawafanani hawa kwa tabia.kichwa chetu kinapenda sifa hata kma ni za kijinga.
Nakumbuka kuna mheshimmiwa mmoja alikuwa chuoni anachukua Doctorate, basi kuna mtangazaji wa redio moja akawa anamhoji, cha ajabu yule mheshimiwa alikataa kuanza kuzungumza akitaka kwanza yule mtangazaji am-address kama Dokta.

Kwa hapa bongo hili si ajabu kwani waheshimiwa wanapenda sifa kuliko kufanya kazi.
 
Acha ushamba wewe ... CIA ndio nini ? fikra za kitumwa hizo lazima watambue elimu ya kila mtu! weye wanakutambua kama nani..? watu wengine bana zero

...wewe ndo zero mkubwa,mbona walivyoleta chandarua mliwapigia magoti mkawapa na kigamboni,clinton alikuja mkadeki barabara,acha kujifanya maskini jeuri,mfumo wa siasa na uchumi mlio ukumbatia utawafanya vibaraka tu hata kama mnajidai vidume,ni zaidi ya zero nyie, negative one wakubwa nyie...
 
...wewe ndo zero mkubwa,mbona walivyoleta chandarua mliwapigia magoti mkawapa na kigamboni,clinton alikuja mkadeki barabara,acha kujifanya maskini jeuri,mfumo wa siasa na uchumi mlio ukumbatia utawafanya vibaraka tu hata kama mnajidai vidume,ni zaidi ya zero nyie, negative one wakubwa nyie...

oh am sorry aim the one who will break this news .... you are an utter fool ...


 


oh am sorry aim the one who will break this news .... you are an utter fool ...



...pameuma eeeh ! pumb..av..u ,usikurupuke kama kuku anayelalia mayai, kila siku mnapanga foleni kwenda marekani, afu eti fikra za kitumwa wakati nchi mmeuza, !!!?? kwanza we akili yako ni negative seven kabisa, hata hali halisi huoni nchi inavyofyonzwa afu unatuletea mawazo muflisi.... ebooo !!
 
sorry,hivi mnaonaje,mkatafuta mambo ya kufanya,maana sasa tumewachoka,mnamuongelea Kikwete,sijui kama mnawakumbuka hata wazazi wenu na elimu zao.

Jamaa baba riz1 ni zaidi ya comedian ndiyo maana tunampenda
 
Ikiwa kama wahusika hawajafanya jitihada za kuwasiliana na CIA ili kuwajulisha ngazi za Elimu yao, kuna hoja kadhaa:
1. Wahusika hawajui ya kwamba wameshushwa thamani kitaaluma;
2. Elimu zao ni duni au hazitambuliki katika jamii ya kimataifa;
3. CIA hawajaboresha mtandao wao kwa wakati (kwa kuwa hawana taarifa)
4. .....
Kimsingi Elimu ya wanasiasa wetu inayo mashaka mengi.
Yote kwa yote, je CIA ndio wanaotoa acredation???
 
DR Kawambwa, DR Magufuli wote hawajaandikwa kama ni ma Dr so no big deal.
 
Back
Top Bottom