Joyce wohwoh
Member
- Sep 17, 2021
- 80
- 185
Sijakuelewa ndugu,naomba ufafanuzi kidogoWanaangalia CIF kubwa kati ya hizo 2, then kubwa ndo itatumika
Mfano: CIF ya TRA ni $1800, na ushuru ni 4.2mil.Sijakuelewa ndugu,naomba ufafanuzi kidogo
Umezidi kunichanganya kabisa,what I know kutoka kwa wadau humu,kuna bei ya gari ambayo unaipata kutoka kwa kampuni unayotaka kununua,then unaingia kwenye Web ya TRA kwenye culculator kuangalia kodi elekezi ya hiyo gari.Mfano: CIF ya TRA ni $1800, na ushuru ni 4.2mil.
CIF ya gari ulilonunua ni $2500.
TRA wataaacha CIF yao, watatumia hiyo uliyonunulia gari ambayo ni kubwa kukokotoa ushuru ambao utakuwa mkubwa kuliko huo unaoonekana kwenye kikokotozi chao.
Sawa, twende taratibu. Utaelewa tu. Iko hivi, TRA wana bei elekezi kwa kila gari. Ukiangalia kwenye kikokotozi chao utaona imeandikwa 'custom value CIF'.Umezidi kunichanganya kabisa,what I know kutoka kwa wadau humu,kuna bei ya gari ambayo unaipata kutoka kwa kampuni unayotaka kununua,then unaingia kwenye Web ya TRA kwenye culculator kuangalia kodi elekezi ya hiyo gari.
Uliponichanga mtu pori ni hapa kwenye mfano wako,CIF ya TRA ni 1800,na ushuru ni 4.2mil.halafu tena CIF ya gari ulonunua ni $2500.
Nashukuru sana hapa sasa nimeelewa haswaa.hatimaye somo limeeleweka ubarikiwe sana.Sawa, twende taratibu. Utaelewa tu. Iko hivi, TRA wana bei elekezi kwa kila gari. Ukiangalia kwenye kikokotozi chao utaona imeandikwa 'custom value CIF'.
Kwenye ununuzi wa gari huwa kuna gharama tofauti kama vile gari pekee (FOB), inspection, insurance, na freight. Mfano gari x, price (FOB) yake ni $1500, inspection $300, insurance $50, na freight $1800.
Ukijumlisha vyote hivi unapata $2650. Hii sasa ndio inaitwa CIF kwa upande wa hayo makampuni yanayouza magari kama Beforward. Ukiangalia kwenye website zao utaona wamekuwekea pale CIF ya gari X ni $3000 (mfano).
Kwa ufupi ni kuwa TRA wana bei elekezi yao kwa kila gari, na makampuni yanayouza magari nayo yana CIF zao kwa kila gari wanalouza.
Kila gari hupungua thamani kadiri miaka inavyoenda mbele. Kwa hiyo, TRA wana bei elekezi yao kwa kila gari. Mfano, gari X ya mwaka Y yenye sifa ABC, thamani yake ni $2600 (mfano), ushuru wake ni 4.2mil.
Endapo wewe utanunua gari kama hilo kwa thamani ya juu (mfano $4000) kuliko bei ekekezi ya TRA (ambayo ni $2600), basi hiyo thamani ya juu ya gari ulilonunua ndio itakayotumika kukokotoa upya huo ushuru ambao sasa utakuwa zaidi ya 4.2mil.
Endapo CIF ya gari huko Japan itakuwa na sawa na ya TRA (mfano $2600) au chini ya bei elekezi ya TRA (mfano $1900), basi utalipa ushuru huo unaoonekana kwenye kikokotozi chao.
Hadi hapo ninadhani utakuwa umeelewa.
Mimi ni mwalimu, sasa ninakupa zoezi. Ingia kwenye website ya Beforward, tafuta gari unalotaka kisha angalia CIF yake. Kisha ingia kwenye kikokotoo cha TRA na uingize sifa za hiyo gari (I assume you know how to enter the car's details) na baada ya kubofya 'calculate', angalia custom value CIF ni dollar ngapi.Nashukuru sana hapa sasa nimeelewa haswaa.hatimaye somo limeeleweka ubarikiwe sana.
Nimeingia mwalimu wangu nimepata CIF ya TRA kubwa zaidi ya CIF ya Beforward.Mimi ni mwalimu, sasa ninakupa zoezi. Ingia kwenye website ya Beforward, tafuta gari unalotaka kisha angalia CIF yake. Kisha ingia kwenye kikokotoo cha TRA na uingize sifa za hiyo gari (I assume you know how to enter the car's details) na baada ya kubofya 'calculate', angalia custom value CIF ni dollar ngapi.
Kisha linganisha CIF ya TRA na CIF ya Beforward.
Ipi kubwa?
Sawa, twende taratibu. Utaelewa tu. Iko hivi, TRA wana bei elekezi kwa kila gari. Ukiangalia kwenye kikokotozi chao utaona imeandikwa 'custom value CIF'.
Kwenye ununuzi wa gari huwa kuna gharama tofauti kama vile gari pekee (FOB), inspection, insurance, na freight. Mfano gari x, price (FOB) yake ni $1500, inspection $300, insurance $50, na freight $1800.
Ukijumlisha vyote hivi unapata $2650. Hii sasa ndio inaitwa CIF kwa upande wa hayo makampuni yanayouza magari kama Beforward. Ukiangalia kwenye website zao utaona wamekuwekea pale CIF ya gari X ni $3000 (mfano).
Kwa ufupi ni kuwa TRA wana bei elekezi yao kwa kila gari, na makampuni yanayouza magari nayo yana CIF zao kwa kila gari wanalouza.
Kila gari hupungua thamani kadiri miaka inavyoenda mbele. Kwa hiyo, TRA wana bei elekezi yao kwa kila gari. Mfano, gari X ya mwaka Y yenye sifa ABC, thamani yake ni $2600 (mfano), ushuru wake ni 4.2mil.
Endapo wewe utanunua gari kama hilo kwa thamani ya juu (mfano $4000) kuliko bei ekekezi ya TRA (ambayo ni $2600), basi hiyo thamani ya juu ya gari ulilonunua ndio itakayotumika kukokotoa upya huo ushuru ambao sasa utakuwa zaidi ya 4.2mil.
Endapo CIF ya gari huko Japan itakuwa na sawa na ya TRA (mfano $2600) au chini ya bei elekezi ya TRA (mfano $1900), basi utalipa ushuru huo unaoonekana kwenye kikokotozi chao.
Hadi hapo ninadhani utakuwa umeelewa.
Mimi ni mwalimu, sasa ninakupa zoezi. Ingia kwenye website ya Beforward, tafuta gari unalotaka kisha angalia CIF yake. Kisha ingia kwenye kikokotoo cha TRA na uingize sifa za hiyo gari (I assume you know how to enter the car's details) na baada ya kubofya 'calculate', angalia custom value CIF ni dollar ngapi. Kisha linganisha CIF ya TRA na CIF ya Beforward.
Ipi kubwa?
Pia huwa kuna Nissan Teanna. Hizi ushuru huwa uko juu kuliko CIF ya gari. 😆😆Saafi sana umeeleza kila kitu
Kuna gari moja inaitwa mazda Atenza 2013
What’s wrong with TRA calculator mbona ushuru uko chini sana around 6.2mls mpk huwa napata mashaka
Cheki ushuru wa Nissan Xtrail 2018 NT32 Vs Mercedes Benz C Class 2011, C200: zote Cc 1,500 - 2,000: Utaona maajabuSaafi sana umeeleza kila kitu
Kuna gari moja inaitwa mazda Atenza 2013
What’s wrong with TRA calculator mbona ushuru uko chini sana around 6.2mls mpk huwa napata mashaka
TRA Wana CIF,au import tax?Mfano: CIF ya TRA ni $1800, na ushuru ni 4.2mil.
CIF ya gari ulilonunua ni $2500.
TRA wataaacha CIF yao, watatumia hiyo uliyonunulia gari ambayo ni kubwa kukokotoa ushuru ambao utakuwa mkubwa kuliko huo unaoonekana kwenye kikokotozi chao.
Safi sana,sasa kama CIF ya gari ni Tsh. 4,500,000 hapo TRA wataacha hiyo 4,500,00 na kuchukua hiyo TOTAL TAXES TSH.7,742,827+7,742,827. Badala ya TSH.7,742,827+4,500,00.View attachment 2632735
Hayaa soma hapoo umeiona ?? Hii CIF kwa ajili ya reference tu sio kwamba unalipia
Uko sawa kabsa TRA wao wanaangalia ipi kubwa ndo wanaitumia.Safi sana,sasa kama CIF ya gari ni Tsh. 4,500,000 hapo TRA wataacha hiyo 4,500,00 na kuchukua hiyo TOTAL TAXES TSH.7,742,827+7,742,827. Badala ya TSH.7,742,827+4,500,00.
Kama nimekosea naomba kurekebishwa[emoji120][emoji120]
Import taxes hupatikana mwishoni baada ya gharama nyingine kuwa zimejumuishwa.TRA Wana CIF,au import tax?
Safi sana,sasa kama CIF ya gari ni Tsh. 4,500,000 hapo TRA wataacha hiyo 4,500,00 na kuchukua hiyo TOTAL TAXES TSH.7,742,827+7,742,827. Badala ya TSH.7,742,827+4,500,00.
Kama nimekosea naomba kurekebishwa[emoji120][emoji120]