goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Nilikuwa nafatilia hotuba ya Rais wetu mteule Dkt. William Ruto ambapo pamoja na mambo mengi aliyoyaongea na kuaddress watu wetu wa Kenya nilivutiwa sana na hotuba yake na nini atawafanyia Wakenya kupambana na hali ya maisha kuwa juu zaidi.
ila pia alienda mbali zaidi kumpongeza sana nguli wa siasa, Bwana Raila Omoro Odinga “Mjaluo mwandamizi” na kumshukuru sana yeye kwani kama siyo rightaila kupigania democracy basi yeye Leo asingekuwa pale kuhutubia taifa.
Kama Rais alimshukuru sana Raila na amemtakia kila la kheri katika maisha yake yote na kumwambia atakumbukwa sana kwa kupigania demokrasia nchini kwetu Kenya.
Ilipofika hatua ya kuulizwa maswali kadhaa, pamoja na vyombo vingi kama NTV, KCB n.k. kuuliza maswali, Rais Ruto alistaajabu kuona waandishi kutoka Citizen TV hawajauliza maswali.
Alipowauliza watu waliangua kicheko mno ndipo mwandishi mmoja mwanamke akamuiliza swali gumu na zuri hadi mwenyewe akafurahi.
Aliulizwa utafanya kazi gani ya Kwanza kwa siku mia moja utakapoingia ofisini?
Swali hili limeulizwa na mwandishi kutoka Citizen TV inayomilikiwa na familia ya Rais Uhuru Kenyatta.