Citizen TV inamilikiwa na familia ya Rais Kenyatta?

Tv stations zote kenya zinamilikiwa na viongozi tena wa juu wa serikali duh
mafisadi watu wa uko hukna taifa Africa east inaongozwa kwa rushwa Kama kenya Kenya ufisadi Ni jadi na Hakuna kosa kuiba Mali ya umma hakuna fisadi liyewai kufikishwa mahakamani nchini kenya

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sioni ubaya wowote kwa familia yoyote kumiliki TV au Radio Steshene yoyote.
Hat mm suajona shida vitu vidg hvyo. Nachukia tu wakimiliki migod na viatalu za dhahabu Kama kiwiri iloyonunuliwa na mkapa milion 70

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
mafisadi watu wa uko hukna taifa Africa east inaongozwa kwa rushwa Kama kenya Kenya ufisadi Ni jadi na Hakuna kosa kuiba Mali ya umma hakuna fisadi liyewai kufikishwa mahakamani nchini kenya

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hawa jamaa nawakubali kitu kimoja kwamba mali zao hawafichi na top10 yao ya matajiri ni viongozi tu waserikali wanatamba 😀
 
Sio kweli familia ya kenyatta inamiliki kituo K24 na sio CITIZENTV mmiliki wake amefariki juz kati nitakupa jina lake soon sema sehem ya wale matycoon wa kikuyu wanamuunga mkono kenyatta popote alipo
Anaitwa SK macharia. Hajafa yupo
 
Hat mm suajona shida vitu vidg hvyo. Nachukia tu wakimiliki migod na viatalu za dhahabu Kama kiwiri iloyonunuliwa na mkapa milion 70

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wakujilaumu ni sisi wenyewe, kuchukia watu walionunua Migodi kwa bei rahisi ni kujiumiza roho bure, hatimae kuugua ugonjwa wa Moyo na hatimae kufa kwa gubu.

Kwanini usiichukie CCM ambayo ndio "Mzizi wa fitina"?
 
Hpn mkuu ccm inaleta amani

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ubaya siyo kumiliki TV station, ubaya ni hiyo pesa ya kuanzisha hiyo TV station aliipataje.
Baba yake Mzee Jommo Kenyata baada ya kuchukua Uhuru alijitwalia mahekta ya Ardhi.

Na ni haki yake kwa maana Stuggle ya Uhuru na kufungwa kote kule na damu ya Maumau.
 
Back
Top Bottom