kijana13
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 1,981
- 3,631
Una kichwa kigumu kuelewa ...ndio madhara ya kudandia habari za Kenya hujui..CITIZEN TV HAIJAWAHI KUMILIKIWA NA KENYATTA WALA FAMILIA YAKE. Citizen tv inamilikiwa na mzee SK macharia Yuko hai ..mzee SK MACHARIA alikuwa rafiki na baba yake odinga na baba yake odinga alimsaidia Sana ndio maana mzee MACHARIA miaka yote ya uchaguzi huwa Yuko upande wa odinga na amekuwa akifavour waziwazi Raila odinga kupitia vyombo vyake vya habari. Wafuasi wa Rutto muda mwingi wa kampeni walikuwa wanakitupia lawama kituo Cha citizen tv kwa upendeleo. Check post za Oscar sudi etc utaona jinsi walivyokuwa wanakishambulia hicho kituo..
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app