raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Yap na ndio inavyoonekana aidha mchezo wote wa3 wanaujua au ruto na kenyatta walikuwa na yao ila ndio mambo ya siasaSas watakutana vip mkuu siyo rais ila mm nadhani Uhuru kamchezea mchezo mchafu omolo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hapana kwenye mali nyingi za Ruto hiyo inatajwa kama yake kutoka BBC
Tv stations zote kenya zinamilikiwa na viongozi tena wa juu wa serikali duh
mafisadi watu wa uko hukna taifa Africa east inaongozwa kwa rushwa Kama kenya Kenya ufisadi Ni jadi na Hakuna kosa kuiba Mali ya umma hakuna fisadi liyewai kufikishwa mahakamani nchini kenyaTv stations zote kenya zinamilikiwa na viongozi tena wa juu wa serikali duh
Hat mm suajona shida vitu vidg hvyo. Nachukia tu wakimiliki migod na viatalu za dhahabu Kama kiwiri iloyonunuliwa na mkapa milion 70Sioni ubaya wowote kwa familia yoyote kumiliki TV au Radio Steshene yoyote.
Hawa jamaa nawakubali kitu kimoja kwamba mali zao hawafichi na top10 yao ya matajiri ni viongozi tu waserikali wanatamba 😀mafisadi watu wa uko hukna taifa Africa east inaongozwa kwa rushwa Kama kenya Kenya ufisadi Ni jadi na Hakuna kosa kuiba Mali ya umma hakuna fisadi liyewai kufikishwa mahakamani nchini kenya
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Anaitwa SK macharia. Hajafa yupoSio kweli familia ya kenyatta inamiliki kituo K24 na sio CITIZENTV mmiliki wake amefariki juz kati nitakupa jina lake soon sema sehem ya wale matycoon wa kikuyu wanamuunga mkono kenyatta popote alipo
Wakujilaumu ni sisi wenyewe, kuchukia watu walionunua Migodi kwa bei rahisi ni kujiumiza roho bure, hatimae kuugua ugonjwa wa Moyo na hatimae kufa kwa gubu.Hat mm suajona shida vitu vidg hvyo. Nachukia tu wakimiliki migod na viatalu za dhahabu Kama kiwiri iloyonunuliwa na mkapa milion 70
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hpn mkuu ccm inaleta amaniWakujilaumu ni sisi wenyewe, kuchukia watu walionunua Migodi kwa bei rahisi ni kujiumiza roho bure, hatimae kuugua ugonjwa wa Moyo na hatimae kufa kwa gubu.
Kwanini usiichukie CCM ambayo ndio "Mzizi wa fitina"?
Unauhakika mkuu ama umebuniAnaitwa SK macharia. Hajafa yupo
Adhar zake ziko vipWanasiasa kumiliki media ni hatari kwa ustawi wa taifa
Kbsa yaani kuwa tajiri Kenya kwa mtumishi wa umma au mwanasiasa siyo shida kbsa yaaniHawa jamaa nawakubali kitu kimoja kwamba mali zao hawafichi na top10 yao ya matajiri ni viongozi tu waserikali wanatamba [emoji3]
Fine,Serikali ya CCM itaendelea kuuza Migodi kwa bei wanayoitaka wao, (kwasababu CCM ni ile ile) na wewe utazidi kuumia roho.
Stupid kumbe uko tunduru unajifanya mkenyaNawahukuru sna wakeny kwa kunipa taarifa sahihi
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ubaya siyo kumiliki TV station, ubaya ni hiyo pesa ya kuanzisha hiyo TV station aliipataje.Sioni ubaya wowote kwa familia yoyote kumiliki TV au Radio Steshene yoyote.
Baba yake Mzee Jommo Kenyata baada ya kuchukua Uhuru alijitwalia mahekta ya Ardhi.Ubaya siyo kumiliki TV station, ubaya ni hiyo pesa ya kuanzisha hiyo TV station aliipataje.