United huwa ni ya ajabuOya we jamaa kama uchawi vile utabiri wako ushaanza kutimia ๐
Noma sanaFoden kala umeme
Mkuu uliyoyasema yanaanza kutimia ๐United huwa ni ya ajabu
Muda huu city ipo punguza almost atacheza dk 67 wakiwa 10 lkn united anaweza kufungwa au atoe sare
Me ni shabiki wa man U ila leo nimempa city direct winJaman pira haijaisha
Team mbovu sanacMkuu uliyoyasema yanaanza kutimia ๐