City leo anadundwa na United, hafu nafasi ya Kwanza ndio Hajikaa Tena hadi Msimu ujao!

City leo anadundwa na United, hafu nafasi ya Kwanza ndio Hajikaa Tena hadi Msimu ujao!

Yap.

Man City mbele ya United leo hana cha kufanya. Anapigwa. Na hajikukaa Nafasi ya Kwanza Tena huu Msimu.
Umefungua thread kwa matumaini ya City kudundwa na United, lakini mwisho United ndio kadundwa.
Dah, umekimbilia wapi?

11 dhidi ya 10, dakika nyingi walikuwa na advantage ya mtu mmoja, lakini bado wakafungwa.
 
Back
Top Bottom